HOSPITALI ZATAKIWA ZITUMIE VYANZO VINGINE VYA KUNUNUA DAWA
Naibu Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Kebwe Kebwe amewataka viongozi wa halmashauri kushirikiana na waganga wakuu kuhakikisha dawa na vifaa tiba vinavyotolewa na Serikali kupitia Bohara Kuu ya Dawa MSD vinatumika ipasavyo.
Dkt. Kebwe alisema hayo jana wilayani Masasi Mkoani Mtwara katika ziara ya kwanza toka uteuzi wake kutoka kwa Rais Kikwete wakati akiwa na kamati ya kudumu ya Bunge huduma za jamii kukagua taratibu za usambazaji dawa vituo na hospitali za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Jan
Nagu aagiza TIC kuanzisha vyanzo vingine vya mapato
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk Mary Nagu amekitaka Kituo cha Uwekezaji (TIC) kuanzisha vyanzo vingine vya mapato ili kiweze kutekeleza miradi yake kwa wakati bila kutegemea bajeti ya serikali.
10 years ago
MichuziHALMASHAURI NCHINI ZATAKIWA KUBUNI VYANZO ZAIDI VYA MAPATO YA NDANI
9 years ago
Habarileo20 Oct
Halmashauri zatakiwa kutafuta vyanzo vipya
HALMASHAURI za wilaya zimetakiwa kujipanga upya na kutafuta vyanzo vingine vya mapato, kwani wakiingia madarakani watafuta ushuru na kodi zote zinazowakera wananchi, hasa wale wafanyabiashara wadogo.
10 years ago
Habarileo02 Jun
Halmashauri zatakiwa kununua tingatinga
SERIKALI imesisitiza haja ya halmashauri zote nchini kununua tingatinga kupunguza gharama za kutengeneza barabara zake kwa kutumia zabuni hata katika masuala madogo.
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Halmashauri zatakiwa kununua mashine za matofali
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amezitaka halmashauri zote nchini kutenga fedha za kununua mashine za matofali yanayofungana (Tanzania Interlocking Bricks Machine), kwa ajili ya kupunguza tatizo la ajira katika halmashauri zao....
5 years ago
BBCSwahili04 May
Virusi vya corona: Hospitali za Uingereza zaanza kufanyia majaribio dawa mpya
5 years ago
MichuziDUKA LA DAWA HOSPITALI YA BAGAMOYO LASAIDIA UPATIKANAJI WA DAWA KIRAHISI
Duka hilo lililoanzishwa kwa mtaji wa sh.milioni 4, walianza kununua dawa muhimu na za lazima kwa wateja wa Bima.
Hayo yalielezwa na Mganga Mkuu wa wilaya (DMO) Dk. Aziz Msuya mbele ya viongozi wa halmashauri ya...
11 years ago
MichuziMADIWANI MANISPAA YA MOSHI WATEMBELEA VYANZO VYA MAJI VYA MUWSA
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja(aliyenyoosha mkono)akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea chanzo cha Maji cha Cofee Curing. Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira...