Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli, tingatinga lisiloacha kitu

John Pombe Joseph Magufuli ndiye mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi(CCM) anayetajwa na CCM kama ‘tingatinga’ kutokana na rekodi yake katika kazi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

JK amfananisha Magufuli na 'tingatinga'

>Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Pombe Magufuli ameelezewa na watu mbalimbali kuwa ni mchapakazi, makini, asiyependa uvivu, lakini Rais Jakaya Kikwete amehitimisha yote kwa kumpachika jina la “tingatinga”.

 

9 years ago

Mwananchi

Mtei: Rais Magufuli asiige kila kitu kutoka kwa Nyerere

Tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli aanze kasi ya kushughulikia kero mbalimbali za wananchi, kumekuwa na maoni mbalimbali kuhusu aina ya ufanyaji kazi wake.

 

9 years ago

Michuzi

TUZO ZA SANAA YA UCHORAJI TINGATINGA

 Balozi wa China nchini Tanzania Dr. Lu Younq ing akiongea na baadhi ya wasanii wa sanaa ya uchoraji  wa Tingatinga katika hafla ya utoaji wa  Tuzo  la Mashindano ya Kimataifa ya Uchoraji wa Tingatinga Tanzania iliyofanyika leo (jana) jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zimetolewa kwa  ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China. Tuzo hizo zimetolewa kwa  ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China. Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea  katika...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete: Huyu ni sawa na tingatinga

Mgombea Urais kupitia CCM, Dk John Magufuli akisalimiana na mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete mjini Dodoma.MWENYEKITI wa Taifa wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amemfananisha mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli na tingatinga na kuwa akiwa Rais, Tanzania itanufaika sana.

 

10 years ago

Habarileo

Halmashauri zatakiwa kununua tingatinga

 Kassim MajaliwaSERIKALI imesisitiza haja ya halmashauri zote nchini kununua tingatinga kupunguza gharama za kutengeneza barabara zake kwa kutumia zabuni hata katika masuala madogo.

 

10 years ago

Mwananchi

Komba azikwa kwa tingatinga

>Safari ya mwisho ya mbunge wa Mbinga Magharibi jana ilihitimishwa saa 9.25 alasiri wakati mwili wake ulipofunikwa na mfuniko mkubwa wa zege uliobebwa na gari maarufu kwa jina la “kijiko”.

 

10 years ago

Vijimambo

Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”


HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO Hamfrey Polepole na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wamekabana kwa hoja kali kuhusu uamuzi wa Chadema na Ukawa kwa ujumla kumpokea Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.Polepole na Msigwa walikutana jana katika kipindi cha ‘Mada Moto’ kinachorushwa na kituo cha runinga cha Chanel Ten kujadili mada iliyotajwa kama ‘Lowassa Ndani ya CCM’.Polepole alionesha msimamo wake wa kumkataa Edward Lowassa kuwa...

 

5 years ago

Michuzi

EDWARD SAIDI- MWANZILISHI WA SANAA YA TINGATINGA


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
ANAFAHAMIKA kwa jina la Edward Saidi 'Tingatinga' mchoraji wa kitanzania ambaye pia anaelezwa kuwa ni mwanzilishi wa mtindo wa uchoraji maarufu kama Tingatinga, ambao umekuwa kivutio kwa watalii na umekuwa ukifanywa katika nchi za Tanzania, Kenya na baadhi ya maeneo katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Tingatinga ni sanaa ya ufundi inayojumuisha uchoraji, upakaji rangi, ufinyanzi, uchongaji na utengenezaji wa mapambo ya asili na utamaduni.
Tingatinga ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani