Dhana ya kikwetu kwetu itasaidia sanaa sanaa
Ukifikiria umoja, halafu ukitaka kuleta ubinafsi ndani yake, huku ukiangalia dhana yenyewe kwa juu juu unaweza ukahisi unachanganya mambo, lakini ukikaa kwa umakini na kuzitekeleza dhana hizi kwa utaratibu, utajikuta kwenye mafanikio makubwa sana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili07 Dec
Kwa Picha: Kubadili dhana ya Afrika kupitia sanaa
Maonyesho ya sanaa katika makavazi ya Guggenheim mjini Bilbao, kaskazini mwa Uhispania, inalenga kuonyesha kizazi kipya cha Waafrika ambao wanalipa bara hili mtazamo mpya.
11 years ago
BBCSwahili30 May
Sanaa ya vichekesho Uganda
Sanaa ya vichekesho na uchekeshaji imekuwa ikipata umaarufu katika miaka ya hivi karibuni Afrika Mashariki.
10 years ago
BBCSwahili24 Oct
Bodaboda ni sanaa Uganda
Boda Boda imechangia katika usafiri wa miji mingi barani Afrika lakini sasa wameanza kuchangia katika sanaa nchini Uganda.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EMVKhgUIcMtUn14UM5X6Q2WBJ171MNUKR5D3vpvrXYNEcIwpRQUxl0coKjWZu4rs5jX3MW-6Xel8gu9q8VFk90SuFrgqmS7*/BACKJUMAMOSI.jpg)
MAINDA AANIKA KINACHOIUA SANAA
Brighton masalu
BILA kuwataja kwa majina, msanii wa filamu mwenye Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amesema kitendo cha baadhi ya wasanii wanaojiona wamefikia vilele vyote vya mafanikio na kuwafanyia roho mbaya wenzao, ndiyo moja kati ya sababu kubwa zinazochangia sanaa ya uigizaji kuporomoka. Msanii wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’. ‘Akibwabwaja’ na mwandishi wetu hivi karibuni, Mainda ambaye...
10 years ago
Raia Mwema25 Jun
Watangaza nia na sanaa ya kujieleza ( 4)
JUMA la jana tuliangazia mambo muhimu ya kuzingatia unapokwenda kutoa hotuba.
11 years ago
BBCSwahili25 Mar
Wizzy anogesha sanaa Nigeria
Wizzy au Wizkid, ni mshindi wa tuzo mbalimbali na nyota maarufu nchini Nigeria na nje ya mipaka.
9 years ago
Mwananchi10 Sep
Mchango wa Sanaa katika Kiswahili
Katika shule za msingi, sekondari na pia vyuo vikuu lipo somo linalojulikana kama ‘sanaa za maonyesho’. Hili ni somo linalotilia mkazo mbinu mbalimbali za kuwasilisha ujumbe katika hadhira tofauti kwa kutumia lugha na vitendo. Darasani wanafunzi wanapata fursa ya kutoa ujumbe fulani mbele ya darasa kama vile hadithi, vitendawili na hata nyimbo.
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Sanaa si filamu na muziki pekee
Tafsiri ya sanaa kwa mujibu wa wanazuoni ni ufundi unaotumika na mwanadamu katika kuwasilisha mawazo au fikra zake.
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Sanaa imekua, tuikuze na kuitunza
Miaka kadhaa wakati vijana wa kizazi kipya wanaingia katika medani hasa ya muziki walijikita katika utamaduni wa Magharibi sana hali iliyokuwa ikipingana na maadili ya utamaduni wetu na kuleta picha nyingine ambayo jamii iliichukulia kama ni uhuni.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania