Sanaa imekua, tuikuze na kuitunza
Miaka kadhaa wakati vijana wa kizazi kipya wanaingia katika medani hasa ya muziki walijikita katika utamaduni wa Magharibi sana hali iliyokuwa ikipingana na maadili ya utamaduni wetu na kuleta picha nyingine ambayo jamii iliichukulia kama ni uhuni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo16 Sep
Dk.Slaa- Demokrasia nchini imekua
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbrod Slaa amesifu demokrasia iliyoko nchini akisema imekua, ingawa alitaka baadhi ya maeneo kutiliwa mkazo.
10 years ago
Vijimambo11 years ago
Mwananchi12 Apr
Dhana ya kikwetu kwetu itasaidia sanaa sanaa
Ukifikiria umoja, halafu ukitaka kuleta ubinafsi ndani yake, huku ukiangalia dhana yenyewe kwa juu juu unaweza ukahisi unachanganya mambo, lakini ukikaa kwa umakini na kuzitekeleza dhana hizi kwa utaratibu, utajikuta kwenye mafanikio makubwa sana.
10 years ago
GPLTANZANIA IMEKUA MWENYEJI MKUTANO MKUU WA KWANZA UMOJA WA VYUO VYA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRIKA(AATO)
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi , Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Mbwana . J. Mbwana akisalimiana na Rais wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika(AATO) Tchagbele Sadamba wakati wa mkutano mkuu wa kwanza wa AATO unaofanyika Zanzibar  kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti Uchumi Mamlaka ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania