Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGIA RAIS MUGABE AANGUKE IMEKUA SHIIIDA


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MARAFIKI WENGINE NI SHIIIDA

Yaani  alfajiri ya leo nikiwa bado niko ndotoni naota nina gari la kifahari, nikaamshwa na mtu anagonga mlango, nilimlaani kwa kuwa gari niliyokuwa nayo ilikuwa na kiyoyozi, muziki kwa mbali, harufu ya pafyumu ya gari ikichanganyika na harufu ya pafyumu ya bei mbaya ya mtoto mwenye umbo la ki-Miss niliyekuwa naye kwenye gari vilikuwa vikinifanya nijisikie kama niko Ulaya hivi. Halafu ghafla mtu ananiamsha najikuta gizani,...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA ZIMBABWE ROBERTY MUGABE AFUNGUA KONGAMANO LA VIJANA AFRIKA NA CHINA,RAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA .

  Mgeni Rasmi wa Kongamano la tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China, Rais wa Zimbabwe,Robert  Mugabe akihutubi usiku huu kweye kongamano hilo kwenye moja ya ukumbi wa mikutano katika hotel ya Ngurdoto mjini Arusha.Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza usiku huu kwenye moja ya ukumbi wa mikutano katika hotel ya Ngurdoto mjini Arusha,ambapo Kongamano la tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China linafanyika na mgeni rasmi ni Rais wa Zimbabwe,Robert Mugabe. Rais wa...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS MUGABE APIGA MUELEKA

Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe (90) amenaswa na kamera akiwa ameanguka wakati akielekea kwenye gari, muda mfupi tu baada ya kusalimia wananchi waliofika kumlaki katika Uwanja wa Ndege akitokea Ethiopia kwenye mkutano wa AU.
Rais Mugabe amekuwa akisafiri kwenda katika nchi za Asia kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake na tiba, hasa ya macho. Anatarajiwa kusherehekea sikukuu ya kuzaliwa tarehe 21 Februari.Picha wa hisani ya Wavuti

 

10 years ago

Habarileo

Mke wa Rais Mugabe abanwa

MSHINDI wa tuzo ya uandishi nchini Zimbabwe Chenjerai Hove, amemtaka mke wa Rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe, Grace Mugabe, kurejesha Shahada yake ya Uzamivu (PhD).

 

10 years ago

Habarileo

Dk.Slaa- Demokrasia nchini imekua

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbrod Slaa amesifu demokrasia iliyoko nchini akisema imekua, ingawa alitaka baadhi ya maeneo kutiliwa mkazo.

 

10 years ago

Mwananchi

Sanaa imekua, tuikuze na kuitunza

Miaka kadhaa wakati vijana wa kizazi kipya wanaingia katika medani hasa ya muziki walijikita katika utamaduni wa Magharibi sana hali iliyokuwa ikipingana na maadili ya utamaduni wetu na kuleta picha nyingine ambayo jamii iliichukulia kama ni uhuni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mugabe amteua makamu mpya wa Rais

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amemeteua makamu mpya wa Rais Emmerson Mnangagwa dalili kwamba huyo ndiye Mugabe anampendekeza kumrithi.

 

10 years ago

GPL

RAIS MUGABE ATIMIZA MIAKA 90 LEO

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe. Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ametimiza miaka 91 leo.
Mugabe amekuwa ni kiongozi mzee kabisa duniani kwa kuwa madarakani kwa miaka 35.
Sherehe ya siku yake ya kuzaliwa inategemewa kufanyika wiki ijayo katika Uwanja wa Golf, Victoria Falls. Sherehe hiyo ambayo itakuwa kubwa na kuhudhuriwa na maelfu ya watu, inaelezwa kugharimu kiasi cha dola milioni… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Mugabe atimua mawaziri wake

Raisi Robert Mugabe wa Zimbabwe, amewafukuza kazi mawaziri wake wawili na manaibu waziri watano hatua ambayo imemkumba pia aliyekuwa makamu wake Joyce Mujuru.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani