Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS MUGABE APIGA MUELEKA

Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe (90) amenaswa na kamera akiwa ameanguka wakati akielekea kwenye gari, muda mfupi tu baada ya kusalimia wananchi waliofika kumlaki katika Uwanja wa Ndege akitokea Ethiopia kwenye mkutano wa AU.
Rais Mugabe amekuwa akisafiri kwenda katika nchi za Asia kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake na tiba, hasa ya macho. Anatarajiwa kusherehekea sikukuu ya kuzaliwa tarehe 21 Februari.Picha wa hisani ya Wavuti

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS WA ZIMBABWE ROBERTY MUGABE AFUNGUA KONGAMANO LA VIJANA AFRIKA NA CHINA,RAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA .

  Mgeni Rasmi wa Kongamano la tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China, Rais wa Zimbabwe,Robert  Mugabe akihutubi usiku huu kweye kongamano hilo kwenye moja ya ukumbi wa mikutano katika hotel ya Ngurdoto mjini Arusha.Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza usiku huu kwenye moja ya ukumbi wa mikutano katika hotel ya Ngurdoto mjini Arusha,ambapo Kongamano la tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China linafanyika na mgeni rasmi ni Rais wa Zimbabwe,Robert Mugabe. Rais wa...

 

10 years ago

Habarileo

Mke wa Rais Mugabe abanwa

MSHINDI wa tuzo ya uandishi nchini Zimbabwe Chenjerai Hove, amemtaka mke wa Rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe, Grace Mugabe, kurejesha Shahada yake ya Uzamivu (PhD).

 

10 years ago

BBCSwahili

Mugabe amteua makamu mpya wa Rais

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amemeteua makamu mpya wa Rais Emmerson Mnangagwa dalili kwamba huyo ndiye Mugabe anampendekeza kumrithi.

 

10 years ago

GPL

RAIS MUGABE ADONDOKA UWANJA WA NDEGE

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, akidondoka kwenye uwanja wa ndege Harare. RAIS wa Zimbabwe, Robert Mugabe jana, Februari 4, mwaka huu alidondoka akiwa uwanja wa ndege muda mfupi akitokea nchini Ethiopia. Rais Mugabe alikuwa akiwahutubia wafuasi wake katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Harare ila wakati akishuka jukwaani aliteleza na…

 

10 years ago

GPL

RAIS MUGABE ATIMIZA MIAKA 90 LEO

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe. Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ametimiza miaka 91 leo.
Mugabe amekuwa ni kiongozi mzee kabisa duniani kwa kuwa madarakani kwa miaka 35.
Sherehe ya siku yake ya kuzaliwa inategemewa kufanyika wiki ijayo katika Uwanja wa Golf, Victoria Falls. Sherehe hiyo ambayo itakuwa kubwa na kuhudhuriwa na maelfu ya watu, inaelezwa kugharimu kiasi cha dola milioni… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Mugabe atimua mawaziri wake

Raisi Robert Mugabe wa Zimbabwe, amewafukuza kazi mawaziri wake wawili na manaibu waziri watano hatua ambayo imemkumba pia aliyekuwa makamu wake Joyce Mujuru.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Mugabe ziarani Afrika Kusini

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe anatarajiwa kufanya ziara nchini Afrika Kusini baada ya zaidi ya miaka ishirini kupita

 

9 years ago

Mtanzania

Rais Kikwete apiga kura kijijini kwake

jkNA PATRICIA KIMELEMETA, CHALINZE

RAIS Jakaya Kikwete jana alipiga kura kijijini kwake Msoga, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.

Rais Kikwete ambaye anamaliza muda wake wa uongozi wa miaka 10 tangu alipoingia madarakani Novemba 2005, aliwasili kijijini hapo katika Kituo cha Zahanati ya Msoga, jana saa 12:25 na kupanga foleni ya kupiga kura kama ilivyo kwa wananchi wengine.

Baada ya kumaliza kupiga kura, alisema amejitokeza kutumia haki yake ya msingi ya kuwapigia kura viongozi wanaotarajiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani