MAINDA AANIKA KINACHOIUA SANAA
![](http://api.ning.com:80/files/EMVKhgUIcMtUn14UM5X6Q2WBJ171MNUKR5D3vpvrXYNEcIwpRQUxl0coKjWZu4rs5jX3MW-6Xel8gu9q8VFk90SuFrgqmS7*/BACKJUMAMOSI.jpg)
Brighton masalu BILA kuwataja kwa majina, msanii wa filamu mwenye Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amesema kitendo cha baadhi ya wasanii wanaojiona wamefikia vilele vyote vya mafanikio na kuwafanyia roho mbaya wenzao, ndiyo moja kati ya sababu kubwa zinazochangia sanaa ya uigizaji kuporomoka. Msanii wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’. ‘Akibwabwaja’ na mwandishi wetu hivi karibuni, Mainda ambaye...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Dhana ya kikwetu kwetu itasaidia sanaa sanaa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*oWdz*jccIObpsGq6W6XfAAbmHyrIx7qvFJZAkWjuQdcJaVaMajwhIXX-BeNZ1u-zt*0q3*hx-wCJpIamlPPNT8/mainda.jpg)
MAINDA AVIKACHA VIMINI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BvvAZRNFqnTwDzdDu43J1QrzB3wO0qCCv5TyCHdlZ66sbzjNLf9Lu5Owu5LIudktaPwMk1QmiytZwZK0wwbrUwPpXgpUpkbX/Front.jpg)
MAINDA AGOMBANA KANISANI
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Mlokole Mainda anaswa!
STAA mkongwe wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ akikumbatiana na mwanaume huyo.
Musa mateja
STAA mkongwe wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ ambaye ni mlokole wa Huduma ya Inuka Uangaze iliyopo kwenye Ukumbi wa Vatican City Hotel, Sinza jijini Dar, amenaswa laivu akiwa amegandana kimahaba na mwanaume hivyo kuibua minong’ono.
TUJIUNGE USHUANI MASAKI
Tukio hilo lililoshuhudiwa na gazeti hili lilijiri maeneo ya ushuani kwenye bustani zilizopo ndani ya Hoteli ya Double Tree, Masaki...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*WGU92AGsqV0t6i-5EaNr2xOuo77KOJ1*hjdW0wHsmZRrfyxesKLV-e6lF20B8t0H-XvMIlClFLtfHHFSZYZiUp/maindadogo.jpg?width=650)
MAINDA: BORA NIZAE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/P2Q6K2rcr9EeLqJaZsTv-d62VE70MleGzhEVgVQFl2f0-W-HJXqvJAP99Bmffv976lsWNl2oalDPXNEOHNTYXH2IHgS7oUjX/mainda.jpg?width=650)
MAINDA ASAKA MUME
9 years ago
Global Publishers15 Dec
Mchungaji wa Mainda akamatwa
Mchungaji Boniface Godwin Mwamposa.
Makongoro Oging’ na Mayasa Mariwata
VIBALI noma! Mchungaji Boniface Godwin Mwamposa anayeendesha huduma ya Neno la Mungu kwenye ukumbi wa baa iliyosimama kufanya kazi, Vatican Hotel, Sinza Kijiweni, Dar amekamatwa na msajili wa vyama vya kijamii (yakiwemo makanisa) kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani na kufikishwa Kituo cha Polisi Kijitonyama ‘Mabatini’ jijini Dar kwa madai ya kutokuwa na vibali cha kufanya kazi hiyo.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Desemba 8,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/o1QX7UF1Vt7gmlgEix3Tx*hU8RiqRkjxBTONPKUetJZn7qHyK1H9TXznIUBerAxSnHr*ljHtdIZl7OxCp*I1V7I1ApASZyYk/MAINDA.jpg?width=650)
MAINDA ALILIA MTOTO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNXyDtcPF7QoGdy4*VNiwxzQuEAXw9n0WAz1eXXYgnuGYOEv7qOkSC550Xc9004K9RBc67Io3wO9u6KkvyRuHTcn/sherry.jpg?width=650)
MAINDA AMLILIA SHERRY MAGARI