Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAINDA: BORA NIZAE

Na  Shakoor Jongo
MUIGIZAJI wa ‘longtime’ katika tasnia ya filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amefunguka kuwa bora azae kwani kutozaa kwake kunamfanya aumwe mara kwa mara. Staa wa ‘longtime’ katika tasnia ya filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ Akizungumza na papazi wetu, Mainda alisema amegundua kuwa ili apone ugonjwa wa chango unaomsumbua mara kwa mara ameshauriwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL: BORA NIZAE TU, UMRI UMEENDA!

Stori: Imelda Mtema
NENO! Siku chache baada ya kuripotiwa kuwa ni mjamzito, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameibuka na kufunguka kuwa, aachwe azae kwani umri unazidi kuyoyoma. Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel. Akizungumza na mwanahabari wetu, Aunt alisema watu wamekuwa wakizungumza sana kuhusu ujauzito wake lakini kikubwa ni kwamba ameupata akiwa na umri sahihi na wala siyo chini ya miaka 18. “Najua watu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Faiza: Kuwa Mama Poa Sana, Natamani Nizae Team ya Mpira!!

Mwigizaji wa filamu mwenye vituko vya aina yake, Faiza Ally ambae ni mama wa mtoto moja, aliezaa na Mbunge wasasa wa Mbeya mjini, ameyasema hayo  akiwa visiwani Zanzibar kwenye mapumziko mafupi.

Mwigizaji huyu ambae mara kabdhaa amekuwa akijisifia kwa kuwa na FIGA nzuri akidai hata baada ya kuzaa bado umbo na mvuto wake bado upo pale pale amesema angekuwa na uwezo wa kipesa  angezaa watoto wengi zaidi kiasi cha kufikisha idadi ya wachezaji wa timu ya mpira kwa sababu kuwa mama ni kitu...

 

11 years ago

GPL

MAINDA ASAKA MUME

Na Hamida Hassan
STAA wa filamu za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amesema kwa sasa hahitaji mchumba wala mpenzi, anahitaji mume wa kumuweka ndani. Akipiga stori na paparazi wetu, Mainda alisema hata akifuatwa na mtu mwenye fedha nyingi kutaka uhusiano naye, hawezi kumkubalia kwani anachotaka sasa hivi ni ndoa tu. “Kwa sasa mpenzi wangu ni Yesu na kutokana na yeye mume wangu nimeshamuona kwenye maono…yulee...

 

9 years ago

Global Publishers

Mchungaji wa Mainda akamatwa

mchungajiMchungaji Boniface Godwin Mwamposa.

Makongoro Oging’ na Mayasa Mariwata
VIBALI noma! Mchungaji Boniface Godwin Mwamposa anayeendesha huduma ya Neno la Mungu kwenye ukumbi wa baa iliyosimama kufanya kazi, Vatican Hotel, Sinza Kijiweni, Dar amekamatwa na msajili wa vyama vya kijamii (yakiwemo makanisa) kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani na kufikishwa Kituo cha Polisi Kijitonyama ‘Mabatini’ jijini Dar kwa madai ya kutokuwa na vibali cha kufanya kazi hiyo.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, Desemba 8,...

 

9 years ago

Global Publishers

Mlokole Mainda anaswa!

IMG_3831
STAA mkongwe wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ akikumbatiana na mwanaume huyo.

Musa mateja
STAA mkongwe wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ ambaye ni mlokole wa Huduma ya Inuka Uangaze iliyopo kwenye Ukumbi wa Vatican City Hotel, Sinza jijini Dar, amenaswa laivu akiwa amegandana kimahaba na mwanaume hivyo kuibua minong’ono.

TUJIUNGE USHUANI MASAKI
Tukio hilo lililoshuhudiwa na gazeti hili lilijiri maeneo ya ushuani kwenye bustani zilizopo ndani ya Hoteli ya Double Tree, Masaki...

 

10 years ago

GPL

MAINDA ALILIA MTOTO

Brighton Masalu
STAA ‘mtulivu’ wa uigizaji Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ ameibuka na kudai kuwa kama mwanamke aliyekamilika, anasikitishwa sana kwa kutopata mtoto hasa kutokana na kunyoshewa vidole na maneno mengi juu ya suala hilo. Staa wa Bongo Movie , Ruth Suka ‘Mainda’ katika pozi. Alisema kutokana na kukosa mtoto wakati mwingine hujisikia vibaya kiasi kwamba hutamani kuwabeba watoto wa...

 

11 years ago

GPL

MAINDA AVIKACHA VIMINI

Stori: Gabriel Ng’osha IMEKAA poa sana! Shosti anayesukuma maisha kupitia mgongo wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ ameahidi kufanya mabadiliko ya mavazi kuanzia kwenye filamu hadi maisha yake binafsi. Muigizaji wa filamu za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’. Akizungumza na mwandishi wetu, Mainda alisema kuanzia sasa watu wategemee mabadiliko makubwa katika maisha yake kwani ameamua kuvikacha...

 

10 years ago

GPL

MAINDA AGOMBANA KANISANI

Stori: Shani Ramadhani MADAI mazito! Super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ anadaiwa kugombana na muumini  mwenzake kwenye kanisa analoabudu kwa sasa, Amani  limedokezwa. Super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’. TUJIUNGE NA MTOA HABARI Kwa mujibu wa chanzo makini, tukio hilo la aina yake lilijiri kwenye kanisa hilo la kiroho lililopo chini ya mchungaji wake aliyetajwa kwa...

 

10 years ago

GPL

MAINDA AANIKA KINACHOIUA SANAA

Brighton masalu
BILA kuwataja kwa majina, msanii wa filamu mwenye Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amesema kitendo cha baadhi ya wasanii wanaojiona wamefikia vilele vyote vya mafanikio na kuwafanyia roho mbaya wenzao, ndiyo moja kati ya sababu kubwa zinazochangia sanaa ya uigizaji kuporomoka. Msanii wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’. ‘Akibwabwaja’ na mwandishi wetu hivi karibuni, Mainda ambaye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani