AUNT EZEKIEL: BORA NIZAE TU, UMRI UMEENDA!
![](http://api.ning.com:80/files/VNXpMB91sleTWi02uYgb*o6IINOsIWab5lHr9e2u4Min6zuxcc0ul0rtILSlU5Z9yojsxIt4t2fM2kcxjdDGIMVlnWWfFywT/5.jpg)
Stori: Imelda Mtema NENO! Siku chache baada ya kuripotiwa kuwa ni mjamzito, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameibuka na kufunguka kuwa, aachwe azae kwani umri unazidi kuyoyoma. Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel. Akizungumza na mwanahabari wetu, Aunt alisema watu wamekuwa wakizungumza sana kuhusu ujauzito wake lakini kikubwa ni kwamba ameupata akiwa na umri sahihi na wala siyo chini ya miaka 18. “Najua watu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*WGU92AGsqV0t6i-5EaNr2xOuo77KOJ1*hjdW0wHsmZRrfyxesKLV-e6lF20B8t0H-XvMIlClFLtfHHFSZYZiUp/maindadogo.jpg?width=650)
MAINDA: BORA NIZAE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/O0rRt4kCpsrxiNjsAjSTztpWzV59Da2DQj28DwR3uaukljFNbz5nEVivhh1jFKbloUUX1JhLPOibevcxBm4myg86eru4KEXW/pub.jpg?width=650)
PUB YA AUNT EZEKIEL CHALI
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Aunt Ezekiel: Filamu hazilipi
STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume au wapenzi wao kwa kuwa soko...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BY6VWIVrp20pxF9*ej2hiejHdFwOylB457L8FJ7e4pwDjI8BMHOvKkoHWQ4485VgeIY-71XgMG2KoI*FV6rWSfea3Qh4AXEo/MAMAWEMA.jpg?width=650)
AUNT EZEKIEL NA UKWELI MCHUNGU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bco3t9J7*tRTgBwuFfyuAuJnc6PwuTbY7fCtyoJ2sPPJdvIouhEa9aBRQKyBs6ObNGMiA1SL9pWUQrPAKH5veLvQ40RmSUPJ/BACK.jpg)
MIMBA YAMTIBUA AUNT EZEKIEL
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bTQ94SQ5wOIde3FMdLUQO*puXeAxc2ZPMYbDmqDD7KoJnVOvZ9qERTcPMrHW0DaHba*39u*Ho7Dt8RSY9ijeMxgBHVhASWpQ/AUNT.jpg?width=650)
AUNT EZEKIEL AZICHAPA UKUMBINI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N6tOykHJpwm8Eg4g55zbaUAyd6dCLAL8i8zxGhVYch8MbDYNox9sR59w-5GKtoP7u1Xg9e99aGKBZBnGdB4*fAf/aunt.jpg?width=650)
AUNT EZEKIEL ATAMANI KUOKOKA!
10 years ago
Mtanzania09 Apr
Mimba yamchosha Aunt Ezekiel
NA GEORGE KAYALA
MKALI wa filamu ya Chozi la Mwanjaa, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine.
Akizungumza na MTANZANIA jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo.
“Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue,...
10 years ago
Bongo Movies14 Mar
Watu Wamvaa Aunt Ezekiel
Kutokana na uzushi ulioenea kuwa staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amejifungua, ndugu, jamaa na marafiki kibao walijazana nyumbani kwake, Mwananyamala jijini Dar es Salaam juzi Alhamisi ili kumpa pongezi, lakini walipokuta habari tofauti walimvaa na kumlaumu kwa kuwadanganya.
Jumatano usiku katika mtandao wa kijamii wa Instagram, msanii Aunt Ezekiel ambaye ni mke wa mtu aliyepata ujauzito mumewe akiwa jela, alitupia picha ikimuonyesha akiwa na kitoto kichanga, ambacho watu wengi...