MAINDA AGOMBANA KANISANI
![](http://api.ning.com:80/files/BvvAZRNFqnTwDzdDu43J1QrzB3wO0qCCv5TyCHdlZ66sbzjNLf9Lu5Owu5LIudktaPwMk1QmiytZwZK0wwbrUwPpXgpUpkbX/Front.jpg)
Stori: Shani Ramadhani MADAI mazito! Super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ anadaiwa kugombana na muumini mwenzake kwenye kanisa analoabudu kwa sasa, Amani limedokezwa. Super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’. TUJIUNGE NA MTOA HABARI Kwa mujibu wa chanzo makini, tukio hilo la aina yake lilijiri kwenye kanisa hilo la kiroho lililopo chini ya mchungaji wake aliyetajwa kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwmwZdZoPR3Zeg7wuPGV4pCaxcoYDVh0KTlCWcUbDpB1*5Q7Br9D*lGCmCMjJU6Y2Rxve2cUd9dvvFPgyJ81qsXu/MAINDA.jpg?width=650)
MAINDA AANGUA KILIO KANISANI
9 years ago
Global Publishers15 Dec
Mchungaji wa Mainda akamatwa
Mchungaji Boniface Godwin Mwamposa.
Makongoro Oging’ na Mayasa Mariwata
VIBALI noma! Mchungaji Boniface Godwin Mwamposa anayeendesha huduma ya Neno la Mungu kwenye ukumbi wa baa iliyosimama kufanya kazi, Vatican Hotel, Sinza Kijiweni, Dar amekamatwa na msajili wa vyama vya kijamii (yakiwemo makanisa) kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani na kufikishwa Kituo cha Polisi Kijitonyama ‘Mabatini’ jijini Dar kwa madai ya kutokuwa na vibali cha kufanya kazi hiyo.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Desemba 8,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*oWdz*jccIObpsGq6W6XfAAbmHyrIx7qvFJZAkWjuQdcJaVaMajwhIXX-BeNZ1u-zt*0q3*hx-wCJpIamlPPNT8/mainda.jpg)
MAINDA AVIKACHA VIMINI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*WGU92AGsqV0t6i-5EaNr2xOuo77KOJ1*hjdW0wHsmZRrfyxesKLV-e6lF20B8t0H-XvMIlClFLtfHHFSZYZiUp/maindadogo.jpg?width=650)
MAINDA: BORA NIZAE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/o1QX7UF1Vt7gmlgEix3Tx*hU8RiqRkjxBTONPKUetJZn7qHyK1H9TXznIUBerAxSnHr*ljHtdIZl7OxCp*I1V7I1ApASZyYk/MAINDA.jpg?width=650)
MAINDA ALILIA MTOTO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/P2Q6K2rcr9EeLqJaZsTv-d62VE70MleGzhEVgVQFl2f0-W-HJXqvJAP99Bmffv976lsWNl2oalDPXNEOHNTYXH2IHgS7oUjX/mainda.jpg?width=650)
MAINDA ASAKA MUME
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Mlokole Mainda anaswa!
STAA mkongwe wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ akikumbatiana na mwanaume huyo.
Musa mateja
STAA mkongwe wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ ambaye ni mlokole wa Huduma ya Inuka Uangaze iliyopo kwenye Ukumbi wa Vatican City Hotel, Sinza jijini Dar, amenaswa laivu akiwa amegandana kimahaba na mwanaume hivyo kuibua minong’ono.
TUJIUNGE USHUANI MASAKI
Tukio hilo lililoshuhudiwa na gazeti hili lilijiri maeneo ya ushuani kwenye bustani zilizopo ndani ya Hoteli ya Double Tree, Masaki...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bYocnjXOIXXQzYNuGiA8loCJq3sYmDUo7QIKJ*V09V1p4FvLmHepc2g5gZyNIEZ56Lw8qlab3G-h7pixx-lckZxd36oyfk3S/mainda.jpg)
MAINDA NA UGUMU WA KUACHA MKOROGO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpHDkPsqpeUVJog-QPpioW8wCIHTJOKkm2GbwcuxKsiuoEDdY6qMB4nZykMKOAMb-0J7WZDzMgZkRaaz24cqcRil/mai.jpg?width=650)
MAINDA AGEUKIA KUIMBA INJILI