Faiza: Kuwa Mama Poa Sana, Natamani Nizae Team ya Mpira!!
Mwigizaji wa filamu mwenye vituko vya aina yake, Faiza Ally ambae ni mama wa mtoto moja, aliezaa na Mbunge wasasa wa Mbeya mjini, ameyasema hayo akiwa visiwani Zanzibar kwenye mapumziko mafupi.
Mwigizaji huyu ambae mara kabdhaa amekuwa akijisifia kwa kuwa na FIGA nzuri akidai hata baada ya kuzaa bado umbo na mvuto wake bado upo pale pale amesema angekuwa na uwezo wa kipesa angezaa watoto wengi zaidi kiasi cha kufikisha idadi ya wachezaji wa timu ya mpira kwa sababu kuwa mama ni kitu...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies04 Sep
Ninatamani Sana Kuolewa-Faiza Ally
Msanii wa filamu na mwanamitindo mwenye vituko, Faiza Ally amesema angependa kuolewa lakini wanaume wengi si waoaji.
Faiza ambaye amezaa mtoto mmoja na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi ameiambia Channel Ten kuwa kila mwanamke anatamani aolewe na awe na familia.
“Wachumba hakuna siku hizi wa kuoa,” alisema Faiza. “Hakuna mwanaume wa kuoa. Kila mwanamke ana ndoto ya kuolewa na kuwa na familia, mimi mmoja wapo na ndoto ya kuolewa lakini wanaume wenyewe wamekuwa magumashi. Siamini...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-OuK6FswNT9k/VHdb_0RF_lI/AAAAAAADOYw/aUXoExi5f1M/s72-c/IMG-20141127-WA0002.jpg)
AFRIKA TRAVEL & LOGISTICS SASA CHAGUO NI LAKO KUFARIRISHA MZIGO KWA NDEGE AU MELI BEI NI POA SANA
![](http://3.bp.blogspot.com/-OuK6FswNT9k/VHdb_0RF_lI/AAAAAAADOYw/aUXoExi5f1M/s1600/IMG-20141127-WA0002.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bco3t9J7*tQd8swFCh6yyL3CgE8-P3MstGZcu*JfrG*CBsKiltxxR1-F5KzFu5uAk6OEiKB0E72zQ8r0xOljOkIm63ct4q3I/BabyMadahaNewVideo.jpg?width=650)
BABY MADAHA: NATAMANI KUWA NA MTOTO
10 years ago
Bongo Movies06 Feb
Baby Madaha: Natamani Kuitwa Mama Mwaka Huu
MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha, amesema anatamani kuitwa mama kama ilivyo kwa wanawake wengine wenye watoto.
Akizungumzia swala hili, Baby Madaha, alisema amepanga kufanikisha ndoto zake za kuwa mama mwaka huu. “Kiukweli natamani sana kupata mtoto, nafarijika nikisikia na kuona wenzangu wanaitwa mama, ni jambo la busara na kumuomba Mungu ili litimie,” alisema Baby Madaha.
Madaha alisema wasanii wengi wamefululiza kuzaa jambo ambalo linapendeza katika jamii, lakini...
10 years ago
Mtanzania13 Apr
Wema Sepetu: Natamani kuitwa mama kabla sijafa
MREMBO wa Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu, amesema kwamba muda wote wa maisha yake amekuwa akisaka ujauzito lakini anasikitika kwamba hana uwezo huo.
Mrembo huyo ambaye kwa sasa anataraji kuachia filamu yake mpya aliyomshirikisha msanii maarufu wa Nigeria, Van Viker, ameeleza namna anavyotamani kuitwa mama kwa kuwa ndicho kitu kikubwa kinachomuumiza katika maisha yake kwa sasa huku akitamani kuwa na mtoto kabla hajafa.
Kauli ya mrembo huyo aliyoiweka katika mtandao wake wa Instagram,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NHPaItPS5EjoxSQJp2m4ykJRTSMK323KmX1JvGMvc92wpZasMeETX-UqeiWkgeekr6LP8ZR56WVpq8F9lZzDZSkXTCleCoPZ/jacobstevenjb.jpg)
JB: NILILELEWA ‘KI-MAMA’ MAMA SANA!
9 years ago
Bongo Movies03 Nov
Faiza Ally Kuja na ‘Baby Mama Drama
Baada ya kushambuliwa na baadhi ya watu kuhusu malezi ya mtoto wake Sasha, aliyekuwa mke wa zamani wa Sugu, Faiza Ally ameamua kuweka wazi mpango wake wa kuachia filamu iitwayo ‘Baby Mama Drama’.
Akizungumza na Bongo5 Jumatatu hii, Faiza ambaye amedai ni mama kijacho, amesema ameamua kufanya filamu hiyo ili kupeleka ujumbe sahihi kwa jamii kuhusu malezi ya mtoto huyo.
“Unajua mimi mama ambaye nimekuwa na drama nyingi toka nipate mtoto. Hii ni historia katika maisha yangu, watu wana-judge...
9 years ago
Bongo502 Nov
Faiza Ally kuachia filamu ya ‘Baby Mama Drama’
10 years ago
Bongo523 Jun
Sugu amshtaki mama wa mtoto wake Faiza, anahisi anamharibu mwanae