BABY MADAHA: NATAMANI KUWA NA MTOTO
![](http://api.ning.com:80/files/bco3t9J7*tQd8swFCh6yyL3CgE8-P3MstGZcu*JfrG*CBsKiltxxR1-F5KzFu5uAk6OEiKB0E72zQ8r0xOljOkIm63ct4q3I/BabyMadahaNewVideo.jpg?width=650)
Mkali wa sinema na muziki wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha. Stori: MAYASA MARIWATA MAHABAT! MKALI wa sinema na muziki wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha amesema anatamani kuwa na mtoto lakini bado hajamuona mwanaume wa kuzaa naye na kuanika vigezo vya mwanaume anayestahili kuwa baba bora kwake. Akibonga mawili matatu na paparazi wetu, Baby alisema suala hilo linahitaji umakini mkubwa katika uchaguzi na sifa anazozihitaji...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NpAlVAvTs3NeDGASYCcqVZz57NPPv4lww9MNtwl4Gz7wsf6j7LVQvfwFY5ISkcCa*UqO*nfGd0ObFk4TL8bJWeAEVVZ7eKd2/4QERE.jpg?width=650)
BABY MADAHA: NATAMANI ZITTO ANIOE
10 years ago
Bongo Movies06 Feb
Baby Madaha: Natamani Kuitwa Mama Mwaka Huu
MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha, amesema anatamani kuitwa mama kama ilivyo kwa wanawake wengine wenye watoto.
Akizungumzia swala hili, Baby Madaha, alisema amepanga kufanikisha ndoto zake za kuwa mama mwaka huu. “Kiukweli natamani sana kupata mtoto, nafarijika nikisikia na kuona wenzangu wanaitwa mama, ni jambo la busara na kumuomba Mungu ili litimie,” alisema Baby Madaha.
Madaha alisema wasanii wengi wamefululiza kuzaa jambo ambalo linapendeza katika jamii, lakini...
10 years ago
Mtanzania05 Feb
Baby Madaha atamani mtoto
NA SHARIFA MMASI, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha, amesema anatamani kuitwa mama kama ilivyo kwa wanawake wengine wenye watoto. Akizungumza na MTANZANIA jana, Baby Madaha, alisema amepanga kufanikisha ndoto zake za kuwa mama mwaka huu. “Kiukweli natamani sana kupata mtoto, nafarijika nikisikia na kuona wenzangu wanaitwa mama, ni jambo la busara na kumuomba Mungu ili litimie,” alisema Baby Madaha. Madaha alisema wasanii wengi wamefululiza kuzaa jambo...
10 years ago
Bongo Movies04 Mar
Nahitaji Mtoto Mmoja Tu- Baby Madaha
Mwigizaji na mwanamuziki kutoka Bongo Baby Madaha amefunguka kwa kusema kuwa wakati ukifika wa kuzaa anahitaji kuzaa mtoto mmoja tu wa kiume katika maisha yake, na hilo litafanyika baada ya kukamilisha miradi yake ambayo ipo karibuni kukamilika.
“Nahitaji kuzaa mtoto mmoja tu wa kiume, ndio malengo yangu, so nilichofanya kwa sasa ni kujipanga ili mwanagu asipate taabu, nimefungua kampuni ya Advanced Entertainment Studio,”anasema Baby Madaha.
Baby anasema kuwa suala la kuzaa ni la kujipanga...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55I7ZlFg1qyxYmxm997bDtMCrfjr**5A8IjAerXx*xDFx9X7avQ-yCqomGic-nbEYiblsZ3UEwMyLKhkKCTnAzrV/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJAkpYW*qkqn1yJYTcBx7y*Csoh8CsJJeO1ywdjtipA4496P3FY0DN2VNgHebGVNDrZVLC47Q3mvnvDfA9tQJX4m/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA AUMBUKA
11 years ago
Michuzi11 Feb
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5QfDS7z72QT0FfVBe7jmds2qNwCFvrMcclbw*ReRFdb0uxCJYQiOlq2ubuaIqxnilcFB8TG7FwjugqUuT3xt5xck/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA: NIMEUMBUKA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ct9BE8xQpt4*i19eHM-ZPJiU*SHvZvtFlNqSQUeN9ntPFhj*IIEhdGj5iPAYzgnrFOGvc3XCHAJtCovpi7IgiFZay2NWHjtV/shishi.jpg?width=650)
SHILOLE: BABY MADAHA HAJIELEWI