BABY MADAHA: NATAMANI ZITTO ANIOE
![](http://api.ning.com:80/files/NpAlVAvTs3NeDGASYCcqVZz57NPPv4lww9MNtwl4Gz7wsf6j7LVQvfwFY5ISkcCa*UqO*nfGd0ObFk4TL8bJWeAEVVZ7eKd2/4QERE.jpg?width=650)
Gladness Mallya NYOTA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha amesema kuwa anatamani kuolewa na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuber Kabwe, akisema ni mwanaume mwenye sifa zote za kuwa mume kwa mwanamke anayejiamini, Risasi Mchanganyiko linakupa full mkanda. Nyota wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha. Akizungumza katika mahojiano maalum na gazeti hili wiki iliyopita jijini Dar es Salaam, Baby...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bco3t9J7*tQd8swFCh6yyL3CgE8-P3MstGZcu*JfrG*CBsKiltxxR1-F5KzFu5uAk6OEiKB0E72zQ8r0xOljOkIm63ct4q3I/BabyMadahaNewVideo.jpg?width=650)
BABY MADAHA: NATAMANI KUWA NA MTOTO
10 years ago
Bongo Movies06 Feb
Baby Madaha: Natamani Kuitwa Mama Mwaka Huu
MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha, amesema anatamani kuitwa mama kama ilivyo kwa wanawake wengine wenye watoto.
Akizungumzia swala hili, Baby Madaha, alisema amepanga kufanikisha ndoto zake za kuwa mama mwaka huu. “Kiukweli natamani sana kupata mtoto, nafarijika nikisikia na kuona wenzangu wanaitwa mama, ni jambo la busara na kumuomba Mungu ili litimie,” alisema Baby Madaha.
Madaha alisema wasanii wengi wamefululiza kuzaa jambo ambalo linapendeza katika jamii, lakini...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55I7ZlFg1qyxYmxm997bDtMCrfjr**5A8IjAerXx*xDFx9X7avQ-yCqomGic-nbEYiblsZ3UEwMyLKhkKCTnAzrV/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5QfDS7z72QT0FfVBe7jmds2qNwCFvrMcclbw*ReRFdb0uxCJYQiOlq2ubuaIqxnilcFB8TG7FwjugqUuT3xt5xck/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA: NIMEUMBUKA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJAkpYW*qkqn1yJYTcBx7y*Csoh8CsJJeO1ywdjtipA4496P3FY0DN2VNgHebGVNDrZVLC47Q3mvnvDfA9tQJX4m/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA AUMBUKA
11 years ago
Michuzi11 Feb
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL3yNSeD2NwBq05bOGaPe0lYXsZ7AHyveerDNhvVrK0Rpg9o9oCEOBWvNQD3*NzNFfga8W0g-LKjoBc3Y0CvOeSc/madaha.jpg?width=650)
BABY MADAHA: NITAOLEWA 2030
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*whl3J3XpWRgFndkAowTFxpJVDy55TNN4c9C-CQwH1XEzXRLmMu1vxQ2GJZI58ZVhstSu3JwzM5x3bLKBp7YcKILpEskg4Aa/madaha.jpg?width=650)
NJAA YAMLIZA BABY MADAHA
10 years ago
Mtanzania05 Feb
Baby Madaha atamani mtoto
NA SHARIFA MMASI, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha, amesema anatamani kuitwa mama kama ilivyo kwa wanawake wengine wenye watoto. Akizungumza na MTANZANIA jana, Baby Madaha, alisema amepanga kufanikisha ndoto zake za kuwa mama mwaka huu. “Kiukweli natamani sana kupata mtoto, nafarijika nikisikia na kuona wenzangu wanaitwa mama, ni jambo la busara na kumuomba Mungu ili litimie,” alisema Baby Madaha. Madaha alisema wasanii wengi wamefululiza kuzaa jambo...