Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sanaa si filamu na muziki pekee

Tafsiri ya sanaa kwa mujibu wa wanazuoni ni ufundi unaotumika na mwanadamu katika kuwasilisha mawazo au fikra zake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Soko la sanaa haliko jukwaani pekee

>Kuna wakati kutokana na kuiva kwa vitengo vyetu katika tasnia fulani fulani ikiwemo hii ya sanaa, inatubidi kuingia katika kazi ya kufundisha ndugu zetu waliopo katika tasnia jinsi ya kwenda na hizi kazi walizonazo ili wasipotoke na hii ni kwa manufaa yao zaidi.

 

10 years ago

Michuzi

ASHA BUI MWANAMKE PEKEE KUCHEZA FILAMU MSITUNI

MWIGIZAJI wa kike wa filamu Aisha Bui, amedai kuwa alijitoa maisha yake kutoka na filamu yake ya Mshale wa Kifo, kutokana na sinema hiyo kutengeneza porini katika msitu hatari wenye wanyama wakali.

Msanii huyo amedai alifanya hivyo kufuatia maoni ya wapenzi wa filamu ambao kila siku wanalalamika kwa kusema kuwa filamu zetu nyingi zimekuwa za mijini tu, huku baadhi ya matukio yakirudiwa kila katika sinema hizo jambo ambalo limekuwa likiongelewa mara kwa mara.

“Nilijitoa maisha yangu kwa kuingia...

 

10 years ago

Bongo5

Wewe ni mwanamuziki au msanii? Vitu vinavyoua muziki na sanaa yako viko hapa

Kuwa mjinga katika ufanyaji wako wa mambo Wewe kama ni msanii umekuwa ukifikiri watu wanapenda kuchelewa kwako kufika kwenye show ambayo umealikwa, unapoteza thamani ya kazi yako.Kitu unachotakiwa kujua ni kwamba watu wanataka kukuona kwa wakati uliotajwa, na wanategemea uimbe kwa kiwango cha juu bila kuwafanyia ujinga au kuimba na kufanya show chini ya viwango. […]

 

10 years ago

GPL

UKITAKA RAHA NA BURUDANI YA MUZIKI MZURI BASI NI SKYLIGHT BAND PEKEE LEO NDANI YA THAI VILLAGE‏

Majembe ya kazi wakiwajibika jukwaaani ili kutoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wao ndani ya uwanja wao wa nyumbani Thai Village Kutoka kushoto ni Joniko Flower akifuatiwa na Sony Masamba (katikati) pamoja na Sam Mapenzi a.k.a asali ya warembo. Mwambie yule na yule na wale tukutane pale kati kwa uchakavu wa Tshs 5,000 tu getini. Skylight Band Divas wakishirikiana kwa pamoja kutoa vocal tamuuuuuuu ndani ya kiota cha maraha...

 

10 years ago

Michuzi

UMOJA WA WASANII WA FANI MBALIMBALI WAMUGA JK,WAMTANGAZA KUWA SHUJAA WA SANAA YA MUZIKI NCHINI

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali (hawapo pichani),waliofika ndani ya ukumbi wa Mlimani City  katika hafla ya kuagwa kwake ilioandaliwa na Muungano wa Wasanii kwa ajili ya kumshukuru kwa namna alivyowasaidia tangu alivyoingia madarakani kwa miaka 10 na pia kumtambulisha Mgombea wa Urais wa chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli,Dkt Jakaya Kikwete alizungumza mambo mbalimbali zikiwemo haki na hatimiliki za wasanii wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Umoja wa wasanii wa fani mbalimbali wamuaga JK, wamtangaza kuwa shujaa wa sanaa ya muziki nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali (hawapo pichani),waliofika ndani ya ukumbi wa Mlimani City  katika hafla ya kuagwa kwake ilioandaliwa na Muungano wa Wasanii kwa ajili ya kumshukuru kwa namna alivyowasaidia tangu alivyoingia madarakani kwa miaka 10 na pia kumtambulisha Mgombea wa Urais wa chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli,Dkt Jakaya Kikwete alizungumza mambo mbalimbali zikiwemo haki na hatimiliki za wasanii wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Dude akubaliana na bei ya Tshs. 1500 kwa filamu. Asema ndio njia pekee ya kupambana na uharamia.

Masanii wa filamu nchini Dude, amefunguka kwa kusema kuwa kwa kuwa serikali imeshindwa kupambana na wezi wa kazi za wasanii ni bora bei ya Steps Tsh 1500 iyendelee ili kuiyokoa tasinia hiyo.

Dude ameiambia tovuti ya Bongo5 kuwa hakuna njia kwa sasa ya kuweza kupambana na maharamia wa kazi za wasanii zaidi kushusha bei ya filamu.

“Tumeshindwa kuwathibiti pirates, watu wanasambaza kazi, wanauza kazi kwa bei rahisi, leo hii ukienda Buguruni unapata kazi kwa elfu mbili, elfu moja mia tano,...

 

10 years ago

Bongo Movies

Rachel: Sio JB pekee, Hizi ni baadhi ya Filamu za Marehemu Kanumba na Ray walizokopi Stori Mpaka Majina

Mcheza filamu za kibongo ambae pia ni muigiazaji wa michezo ya kuigiza kupitia kituo cha televisheni cha Chanel Ten, Rachel Silvestar  amesma anashangazwa na baadhi ya watu kumchukulia vibaya muogizaji mkongwe JB baada ya kuonekana amekopi filamu ya kihindi na kuiita mzee wa swaga wakati hicho kitendo ni cha kawaida kwenye sanaa duniani na JB sio mtu wa kwanza kukupi filamu za nje

Amesema wasanii wakubwa pia kama marehemu Kanumba na Ray nao wamewahi kukopi filamu za nje tena mpaka majina...

 

10 years ago

Dewji Blog

Unaambiwa hiviii, ukitaka raha na burudani ya muziki mzuri basi ni Skylight Band pekee leo ndani ya Thai Village

9

Majembe ya kazi wakiwajibika jukwaaani ili kutoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wao ndani ya uwanja wao wa nyumbani Thai Village  Kutoka kushoto ni Joniko Flower akifuatiwa na Sony Masamba (katikati) pamoja na Sam Mapenzi a.k.a asali ya warembo. Mwambie yule na yule na wale tukutane pale kati kwa uchakavu wa Tshs 5,000 tu getini.

8

Skylight Band Divas wakishirikiana kwa pamoja kutoa vocal tamuuuuuuu ndani ya kiota cha maraha Thai Village. Wa kwanza kushoto ni Mary Luvcos, Digna Mbepera...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani