Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wewe ni mwanamuziki au msanii? Vitu vinavyoua muziki na sanaa yako viko hapa

Kuwa mjinga katika ufanyaji wako wa mambo Wewe kama ni msanii umekuwa ukifikiri watu wanapenda kuchelewa kwako kufika kwenye show ambayo umealikwa, unapoteza thamani ya kazi yako.Kitu unachotakiwa kujua ni kwamba watu wanataka kukuona kwa wakati uliotajwa, na wanategemea uimbe kwa kiwango cha juu bila kuwafanyia ujinga au kuimba na kufanya show chini ya viwango. […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Unajua kuwa sanaa yako inajumuisha maisha yako binafsi?

“Watu waangalie nini nafanya, burudani gani ninawapa lakini maisha yangu hayawahusu.”

 

9 years ago

Bongo5

Vitu unavyotakiwa kujua kabla ya kuanzisha biashara yako

Watu wengi wanatamani wawe wajasiriamali au wawe wafanyabiashara na wakati mwingine wameweza kukurupuka na kuingia kwenye biashara kichwa kichwa na wanakimbia. Kuna vitu ambavyo viko wazi na vinahitajika kujulikana kwa kila anayetamani kufanya biashara, inawezekana hakuna mtu anayekuambia kuhusu hivyo vitu ila leo unatakiwa mtu kuvijua kwa undani wake na umuhimu wake. Nimejaribu kufuatilia vibanda […]

 

10 years ago

GPL

MSANII AKOMBA VITU KWA BWANA’KE

Stori: Mayasa Mariwata, Deogratius Mongela
MSANII wa filamu Bongo, Fatma Leonard wiki iliyopita alinaswa na paparazi wetu akihamisha vitu vya ndani nyumbani kwa mpenzi wake huko Ubungo Makuburi jijini Dar es Salaam akidai kuchoshwa na maisha bila ndoa. Hata hivyo, gazeti hili lilikuta tayari mzigo wa fenicha umeshaondoka. Msanii wa filamu Bongo, Fatma Leonard akifungasha virago kuianza safari. “Nimemvumilia kwa muda...

 

10 years ago

GPL

WEWE NDIYE MWENYE MPINI WA NDOA YAKO

KATI ya vitu vinavyochukua nafasi kubwa sana katika maisha ya wanadamu, wakivizungumza kila mara na hata kuomba ushauri, basi ni vile vinavyohusu mapenzi. Nimekuwa nikiandika mambo haya ya uhusiano na maisha, lakini asilimia kubwa ya ushauri ninaoombwa kutoka kwa watu mbalimbali ni juu ya kitu gani wafanye ili nyenendo zao za kimapenzi ziende sawa. Msichana ataomba ushauri juu ya nini afanye ili mvulana wake ampende na kijana...

 

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa Ford:Mchawi wa Maisha Yako ni Wewe Mwenyewe

NIDHAMU ni silaha kubwa katika maisha.kuna ambao Mungu aliwabariki kwa nafasi zao lakini hawakuweza kutumia nafasi zao vizuri kwasababu ya kukosa nidhamu.walihisi wao ni bora kuliko wengine ndo maana walibarikiwa.

Mwisho wa siku wakishapotea au mambo kwenda tofauti na walivyokuwa wanadhania wanaanza kulaumu watu.Wengine wataingia hadi kwenye ushirikina kwa kusemwa wamerogwa..Mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe...MUWEKE MUNGU MBELE,KUWA MVUMILIVU,ACHA TAMAA,FANYA KAZI KWA BIDII, PENDA...

 

9 years ago

GPL

DUDE; USIINGIZE SANAA KWENYE NDOA YAKO

KWAKO Kulwa Kikumba ‘Dude’. Habari za siku ndugu yangu. Kitambo kidogo hatujaonana ana kwa ana, labda kwa kuwa wote tupo bize na ndiyo maana leo nimekukumbuka kupitia barua. Ukitaka kujua afya yangu, mimi sijambo. Hofu na shaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu. Vipi wanao wote hawajambo? Shemeji je?
Dhumuni la barua hii ni kutaka kukueleza kwamba nimeona tatizo katika maisha yako ya kawaida....

 

10 years ago

Mwananchi

Nguvu ya sanaa inazidi msanii

Kama kuna eneo linaloweza kufukisha ujumbe kwa urahisi kwenye jamii, basi ni sanaa. Kwani kwa kupitia viunga vyake ujumbe hupenya kwa haraka zaidi kufika kule ulikokusudiwa.

 

9 years ago

Bongo5

Ommy Dimpoz ataja vitu ambavyo muziki wa Uganda ni zaidi ya Tanzania

Kwa mujibu wa Ommy Dimpoz soko la muziki wa Uganda ni imara na linalipa zaidi kuliko la Tanzania. Ommy Dimpoz akiwa na msanii wa Uganda, Eddy Kenzo. Ommy amedai kuwa mwaliko wake wa kwenda kutumbuiza kwenye show kubwa ya mshindi wa tuzo za BET mwaka huu, Eddy Kenzo kumemfumbua macho. Amedai kuwa wasanii wa Uganda […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani