DUDE; USIINGIZE SANAA KWENYE NDOA YAKO

KWAKO Kulwa Kikumba ‘Dude’. Habari za siku ndugu yangu. Kitambo kidogo hatujaonana ana kwa ana, labda kwa kuwa wote tupo bize na ndiyo maana leo nimekukumbuka kupitia barua. Ukitaka kujua afya yangu, mimi sijambo. Hofu na shaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu. Vipi wanao wote hawajambo? Shemeji je? Dhumuni la barua hii ni kutaka kukueleza kwamba nimeona tatizo katika maisha yako ya kawaida....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
SHOGA; MAMA YAKO ASIKUINGILIE KWENYE NDOA YAKO
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Unajua kuwa sanaa yako inajumuisha maisha yako binafsi?
11 years ago
GPL
DUDE AKIRI USHIRIKINA KUUA SANAA!
11 years ago
Vijimambo07 Oct
USIJE UKAMTAFUTA MCHAWI KWENYE NDOA YAKO HABARI NDIYO HII JITIRIRSHE MWENYEWE LIVE BILA KING'AMUZI

Wanaume ambao ni wafupi kwa kimo mara nyingi wanasifika kuwa waume bora kuliko wanaume warefu.
Pia inaarifiwa huwa na busara zaidi kufidia kimo chao, amekiri Adam Gopnik, mwanamme mmoja wenye umbo dogo.Wiki kadhaa zilizopita, wana soshologia wawili kutoka Chuo Kikuu cha New York, walichapisha waraka mrefu ulioangalizia maisha ya watu wafupi.
Utafiti wao ulizua mjadala mkali kutoka kwa kile kinachoweza kusemekana kuwa...
10 years ago
GPL01 Jun
11 years ago
GPL
PINDA AMVAA DUDE, KISA KUTOFUNGA NDOA
10 years ago
Vijimambo10 May
DJ GULU RAMADHANI NANJI ATIMIZA MIAKA 19 YA NDOA YAKE, VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA MIAKA AMANI NAFURAHA ZAIDI KATIKA NDOA YAKO.

Oooh Allah Naona Kama Naota Vile Kama Siamini Vile...Asante Sana Mungu Kwa Pumzi Unayotupa Hadi Leo Tarehe 10 May Twafikisha Miaka 19 Ya Ndoa Yetu Mimi Na Mke Wangu Kipenzi Bi Khadija Gulu...Asante Sana Bi Wife Kwa Kustahmili Mengi Kutwa Nipo Katika Mihangaiko,Safarini Kikazi Lakini Mungu Amekujaalia Upendo,Subra,imani Na Moyo Wa Kipekee Wa Kijasiri Sijapata Kuona Wa Kuweza Kukaa Na Familia Kama Mume Nipo Nyumbani Wakati Wote,Wewe Kweli Ni Mke Bora...Wakati Twafunga Ndoa Wengi Walidiriki...
11 years ago
Bongo516 Oct
Wewe ni mwanamuziki au msanii? Vitu vinavyoua muziki na sanaa yako viko hapa
10 years ago
Bongo Movies27 Dec
PICHA: Hakuna Mtu Anaweza Kuchukua Nafasi Yako Kama Upo Kwenye Nafasi Yako-Lulu
Hayo ni maneno ambayo mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” aliyaandika kwa lungha ya kingereza kabla ya kuzitupia picha hizo hapo juu.
“Cant Nobody Take Your Place If You're In Your Place...!”
Kiukweli, kama utaweka chuki zako pembeni, utakubaliana na mimi kuwa Lulu ni mwigizaji anaependa na kwenda na fasheni kuwashinda waigizaji wote wa hapa bongo.
Jionee picha hizo.
By Mzee wa Ubuyu