PINDA AMVAA DUDE, KISA KUTOFUNGA NDOA
Stori: Erick Evarist na Sifael Paul Neno la mkubwa! Habari ikufikie kwamba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda anadaiwa kumvaa staa wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’, kisa kikielezwa kuwa alikuwa akimhoji kwa nini hataki kufunga ndoa? Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda akiwa kwenye picha ya pamoja na staa wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM29 May
VICK KAMATA AUGUA GHAFLA, KUTOFUNGA NDOA KESHO
ile ndoa ya Mh.Vick Kamata na mchumba wake wa siku nyingi aitwaye Charles iko ambayo ilitarajiwa kufungwa kesho imeshindikana baada ya Mheshimiwa huyo kuugua ghafla jana usiku na kukimbizwa hospitalini.Kwa mujibu wa Daktari wake ambaye amezungumza na Clouds fm alisema kuwa Vick Kamata alipelekwa katika hospitali hiyo akiwa katika hali isiyoridhisha kwani alikuwa akitapika na kwamba ujauzito wake ulikuwa ukiashiria kutoka hali ilimfanya alazwe katika hospitali hiyo iliyopo maeneo ya...
10 years ago
GPLMjeshi amvaa Jaja, kisa mabao
10 years ago
GPLMATONYA AMVAA JAYDEE, KISA PICHA YA UDHALILISHAJI
10 years ago
Bongo Movies10 Aug
Nuh Mziwanda Amvaa Idris Sultan, Kisa Shilole!
Picha limeanzia kwenye post ya Instagram ya mshindi wa Big Brother Africa Hotshots, Idris Sultan ambayo aliweka picha ya girlfriend wake Samantha wa Afrika Kusini.
Miongoni mwa watu walio comment kwenye picha hiyo ni pamoja na mmiliki wa ‘moyo’ wa Shishi Baby, Nuh Mziwanda ambaye alimchimba ‘biti’ Idris, akidai kuwa amekuwa akimsumbua mpenzi wake Shilole kwa kumtumia ujumbe ambao hapendezwi nao.
“Nikianza kumsumbua demu wako, kaam unavyomsumbua wangu utafurahi, nimekuvumilia sana bro, sasa...
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Mbunge CCM amvaa Pinda
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Kagasheki amvaa Pinda mgogoro wa Bukoba
MBUNGE wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki (CCM), amemtuhumu Waziri Mkuu Mizengo Pinda, kuwa ameshindwa kumchukulia hatua aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk. Anatory Amani, ambaye amegoma kutii maagizo...
10 years ago
Mwananchi07 May
Nape amvaa Pinda mgomo wa madereva
9 years ago
GPLDUDE; USIINGIZE SANAA KWENYE NDOA YAKO
9 years ago
GPLKISA VICOBA, MKE AKIMBIA NDOA!