Mjeshi amvaa Jaja, kisa mabao
![](http://api.ning.com:80/files/eOkD9SMZvVpRbZRxBPU4KIOFolyG4LfEi6bBfPHP-lMie4ULUcxY1GoYJ2lL4HYNuv8RDJuPtNX6B*AATSjGOmL6YGBHLMNg/mjeshi.jpg)
Mshambuliaji wao, Geilson Santana ‘Jaja’. Na Omary Mdose YANGA ina pointi tatu katika Ligi Kuu Bara ambapo keshokutwa Jumapili inatarajiwa kushuka kwenye Uwanja wa Taifa kukipiga na JKT Ruvu, lakini mshambuliaji wao, Geilson Santana ‘Jaja’ amepewa onyo kali. Jaja ambaye bado hajafunga katika ligi hiyo amekuwa gumzo kutokana na kufunga mabao mawili mazuri katika mechi dhidi ya Azam katika Ngao ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W1m8cWlE8EWGiGEgIvUxmEQSI6hkSTV7KsA23h4YVWMh8byHZRdNKa99v1gAJjGTyny8pfZQkQZjSj5-xEkpM4Y/jaja.jpg)
Jaja amvaa Coutinho mazoezini
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eHhH0wF8G5AzSoOfXBYeo6Agn2qJTb*Ew8mnU1E5jMwMq2HV*rFTkmm2i7areacrIYrcJBA*SZj6RW-tjO*N0ikoeo3ohcVj/BACK.jpg)
MATONYA AMVAA JAYDEE, KISA PICHA YA UDHALILISHAJI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lu8a2-fLGRnDYYuZJ-xsAtNpYO7pHkDnOZn-9uiu840QG2nzNrxogUV6I6h2SenT8WCOsNlob-xr2zmRSbmgHBo2hFhMxodp/PINDA.jpg)
PINDA AMVAA DUDE, KISA KUTOFUNGA NDOA
10 years ago
Bongo Movies10 Aug
Nuh Mziwanda Amvaa Idris Sultan, Kisa Shilole!
Picha limeanzia kwenye post ya Instagram ya mshindi wa Big Brother Africa Hotshots, Idris Sultan ambayo aliweka picha ya girlfriend wake Samantha wa Afrika Kusini.
Miongoni mwa watu walio comment kwenye picha hiyo ni pamoja na mmiliki wa ‘moyo’ wa Shishi Baby, Nuh Mziwanda ambaye alimchimba ‘biti’ Idris, akidai kuwa amekuwa akimsumbua mpenzi wake Shilole kwa kumtumia ujumbe ambao hapendezwi nao.
“Nikianza kumsumbua demu wako, kaam unavyomsumbua wangu utafurahi, nimekuvumilia sana bro, sasa...
11 years ago
Tanzania Daima03 Mar
Mjeshi awabeba Watanzania Kili Marathon
MTANZANIA Jackline Sakilu jana aliibuka shujaa katika mashindano ya Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2014, baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika mbio za Km 21 kwa upande wa wanawake. Katika...
11 years ago
GPLKASHESHE BARABARANI; TRAFIK WATWANGANA NA 'MJESHI'!
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Mongela amvaa JK
WAKATI tuzo ya kuuenzi Muungano iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwa Jaji Joseph Warioba ikiibua maswali, Rais mstaafu wa Bunge la Afrika, Gertrude Mongela, amekosoa upendeleo uliofanywa na Rais Jakaya...
10 years ago
Vijimambo09 Mar
Kinana amvaa Sefue.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Kinana-09March2015.jpg)
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amemuomba Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, kuwasimamisha kazi watumishi wa serikali wanaihusishwa na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kutoka akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu Tanzania (Bot) hadi hapo tuhuma dhidi yao zitakamalizika.
Kinana alitoa ombi hilo katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Dodoma juzi jioni ikiwa ni sehemu...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TJP9R5X7WneleXFhgRJDYmN2-UOCoFBLzHtNm-ZoH7-CxVrmsFimejlmTMtCB0dSbIassqNx4s1npRnfdqk6mnL2qe6Z9m4E/mrembo.jpg?width=650)
SHOMBESHOMBE AMVAA DIAMOND