Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana amvaa Sefue.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amemuomba Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, kuwasimamisha kazi watumishi wa serikali wanaihusishwa na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kutoka akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu Tanzania (Bot) hadi hapo tuhuma dhidi yao zitakamalizika.

Kinana alitoa ombi hilo katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Dodoma juzi jioni ikiwa ni sehemu...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kinana amvaa Lowassa Arusha

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amemjibu aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, aliyedai kuwa kazi nzuri anazofanya Rais John Magufuli, ni utekelezaji wa sera za vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mongela amvaa JK

WAKATI tuzo ya kuuenzi Muungano iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwa Jaji Joseph Warioba ikiibua maswali, Rais mstaafu wa Bunge la Afrika, Gertrude Mongela, amekosoa upendeleo uliofanywa na Rais Jakaya...

 

11 years ago

Mwananchi

Bulaya amvaa Wassira

Siku moja baada ya Steven Wassira kutangaza nia ya kutetea ubunge wa Jimbo la Bunda mwakani, Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Bulaya amesema anashangaa kuona mwanasiasa huyo mkongwe anaweweseka kwa kutojua ni nafasi ipi anaitaka.

 

9 years ago

Mwananchi

Mahanga amvaa Magufuli

Wakati watu mbalimbali wakimminia sifa Rais John Magufuli kwa kubana matumizi, aliyekuwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga amesema uwingi wa makatibu wakuu unakinzana na dhana ya yake ya kupunguza ukubwa wa Baraza la Mawaziri.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wenje amvaa Meya

MBUNGE wa Nyamagana jijini Mwanza, Ezekiel Wenje (CHADEMA), amemshambulia Meya wa jiji hilo, Stanslaus Mabula (CCM), akimuita ni mzigo aliyesababisha jiji kuwa na ukata mkubwa wa fedha za maendeleo. Alisema...

 

9 years ago

GPL

SHOMBESHOMBE AMVAA DIAMOND

Richard Bukos
Mambo ya uchaguzi! Ama kweli nyota ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Baba Tiffah’ inazidi kung’aa ambapo Ijumaa iliyopita mrembo mwenye asili ya Kiarabu ‘shombeshombe’ aliwazidi kete mabaunsa wa msanii huyo na kumvaa mzimamzima. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Baba Tiffah’ akivamiwa na mrembo huyo. Tukio hilo lililoshuhudiwa na Ijumaa...

 

11 years ago

GPL

Loga amvaa Maximo

Kocha Mkuu wa Simba, Mcroatia, Zdravko Logarusic.
Na Martha Mboma
KOCHA Mkuu wa Simba, Mcroatia, Zdravko Logarusic, amesema hamfahamu kocha mpya wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, lakini watapambana uwanjani. Loga, raia wa Croatia, amesema anajua kuwa kocha huyo anatoka Brazil, hivyo hawezi kuwa lelemama, lakini ni vyema wakakutana uwanjani kila mmoja aonyeshe shughuli yake. Kocha huyo msimu uliopita alikuwa akifahamiana na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Werema amvaa Warioba

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, amesema wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanayo mamlaka ya kurekebisha, kupunguza na kuongeza vipengele kwenye rasimu ya Katiba mpya itakayoanza kujadiliwa wiki...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa amvaa JK kashfa ya ujangili

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, amesema kwamba hakuna namna ambavyo Serikali ya Rais Jakaya Kikwete inaweza kukwepe kuhusishwa na tuhuma za ujangili wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani