Loga amvaa Maximo
![](http://api.ning.com:80/files/FsV0PLw632qUN1i9faTuQ1UuBuIA8NI-rV92zNi7Px8-GJc03w2BDLLCp3CHLrrNa8Gi2sssuwr7BT76f-38Obbk0nzu2r7I/loga.gif?width=650)
Kocha Mkuu wa Simba, Mcroatia, Zdravko Logarusic. Na Martha Mboma KOCHA Mkuu wa Simba, Mcroatia, Zdravko Logarusic, amesema hamfahamu kocha mpya wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, lakini watapambana uwanjani. Loga, raia wa Croatia, amesema anajua kuwa kocha huyo anatoka Brazil, hivyo hawezi kuwa lelemama, lakini ni vyema wakakutana uwanjani kila mmoja aonyeshe shughuli yake. Kocha huyo msimu uliopita alikuwa akifahamiana na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Mongela amvaa JK
WAKATI tuzo ya kuuenzi Muungano iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwa Jaji Joseph Warioba ikiibua maswali, Rais mstaafu wa Bunge la Afrika, Gertrude Mongela, amekosoa upendeleo uliofanywa na Rais Jakaya...
10 years ago
Vijimambo09 Mar
Kinana amvaa Sefue.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Kinana-09March2015.jpg)
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amemuomba Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, kuwasimamisha kazi watumishi wa serikali wanaihusishwa na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kutoka akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu Tanzania (Bot) hadi hapo tuhuma dhidi yao zitakamalizika.
Kinana alitoa ombi hilo katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Dodoma juzi jioni ikiwa ni sehemu...
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Wenje amvaa Meya
MBUNGE wa Nyamagana jijini Mwanza, Ezekiel Wenje (CHADEMA), amemshambulia Meya wa jiji hilo, Stanslaus Mabula (CCM), akimuita ni mzigo aliyesababisha jiji kuwa na ukata mkubwa wa fedha za maendeleo. Alisema...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TJP9R5X7WneleXFhgRJDYmN2-UOCoFBLzHtNm-ZoH7-CxVrmsFimejlmTMtCB0dSbIassqNx4s1npRnfdqk6mnL2qe6Z9m4E/mrembo.jpg?width=650)
SHOMBESHOMBE AMVAA DIAMOND
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Mahanga amvaa Magufuli
11 years ago
Mwananchi10 Jul
Bulaya amvaa Wassira
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W1m8cWlE8EWGiGEgIvUxmEQSI6hkSTV7KsA23h4YVWMh8byHZRdNKa99v1gAJjGTyny8pfZQkQZjSj5-xEkpM4Y/jaja.jpg)
Jaja amvaa Coutinho mazoezini
9 years ago
Mwananchi12 Dec
Clinton amvaa Donald Trump
9 years ago
Habarileo12 Dec
Kinana amvaa Lowassa Arusha
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amemjibu aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, aliyedai kuwa kazi nzuri anazofanya Rais John Magufuli, ni utekelezaji wa sera za vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).