Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHOMBESHOMBE AMVAA DIAMOND

Richard Bukos
Mambo ya uchaguzi! Ama kweli nyota ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Baba Tiffah’ inazidi kung’aa ambapo Ijumaa iliyopita mrembo mwenye asili ya Kiarabu ‘shombeshombe’ aliwazidi kete mabaunsa wa msanii huyo na kumvaa mzimamzima. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Baba Tiffah’ akivamiwa na mrembo huyo. Tukio hilo lililoshuhudiwa na Ijumaa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MLELA AJIACHIA NA SHOMBESHOMBE ZENJI

Staa wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela akiwa na shombeshombe huyo. Gladness Mallya STAA wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela juzikati alinaswa Zanzibar akijiachia kimahaba na mrembo shombeshombe.Chanzo makini kililitonya gazeti hili kuwa, Mlela ameonekana visiwani humo kwa wiki nzima akijiachia na mwanadada huyo ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja bila kuhofia wala kuogopa macho ya watu. Alipoulizwa kwa njia ya simu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mongela amvaa JK

WAKATI tuzo ya kuuenzi Muungano iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwa Jaji Joseph Warioba ikiibua maswali, Rais mstaafu wa Bunge la Afrika, Gertrude Mongela, amekosoa upendeleo uliofanywa na Rais Jakaya...

 

11 years ago

GPL

Loga amvaa Maximo

Kocha Mkuu wa Simba, Mcroatia, Zdravko Logarusic.
Na Martha Mboma
KOCHA Mkuu wa Simba, Mcroatia, Zdravko Logarusic, amesema hamfahamu kocha mpya wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, lakini watapambana uwanjani. Loga, raia wa Croatia, amesema anajua kuwa kocha huyo anatoka Brazil, hivyo hawezi kuwa lelemama, lakini ni vyema wakakutana uwanjani kila mmoja aonyeshe shughuli yake. Kocha huyo msimu uliopita alikuwa akifahamiana na...

 

10 years ago

Vijimambo

Kinana amvaa Sefue.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amemuomba Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, kuwasimamisha kazi watumishi wa serikali wanaihusishwa na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kutoka akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu Tanzania (Bot) hadi hapo tuhuma dhidi yao zitakamalizika.

Kinana alitoa ombi hilo katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Dodoma juzi jioni ikiwa ni sehemu...

 

9 years ago

Mwananchi

Mahanga amvaa Magufuli

Wakati watu mbalimbali wakimminia sifa Rais John Magufuli kwa kubana matumizi, aliyekuwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga amesema uwingi wa makatibu wakuu unakinzana na dhana ya yake ya kupunguza ukubwa wa Baraza la Mawaziri.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wenje amvaa Meya

MBUNGE wa Nyamagana jijini Mwanza, Ezekiel Wenje (CHADEMA), amemshambulia Meya wa jiji hilo, Stanslaus Mabula (CCM), akimuita ni mzigo aliyesababisha jiji kuwa na ukata mkubwa wa fedha za maendeleo. Alisema...

 

11 years ago

Mwananchi

Bulaya amvaa Wassira

Siku moja baada ya Steven Wassira kutangaza nia ya kutetea ubunge wa Jimbo la Bunda mwakani, Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Bulaya amesema anashangaa kuona mwanasiasa huyo mkongwe anaweweseka kwa kutojua ni nafasi ipi anaitaka.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbunge CCM amvaa Pinda

Mbunge wa Bukoba Mjini kwa tiketi ya CCM, Khamis Kagasheki amemtuhumu Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuwa ndiye aliyekuza mgogoro wa Bukoba uliosababisha madiwani wa halmashauri kushindwa kufanya vikao, akidai kuwa mtendaji huyo mkuu wa Serikali ameshindwa kuchukua hatua. Pinda hakuweza kupatikana, lakini msemaji wake alisema Waziri Mkuu ameshalishughulikia suala hilo kwa kiasi kikubwa.

 

10 years ago

GPL

Tambwe amvaa Hans Poppe

Mshambuliaji wa Yanga, raia wa Burundi, Amissi Tambwe. Na Mwandishi wetu
MSHAMBULIAJI wa Yanga, raia wa Burundi, Amissi Tambwe, amesikitishwa na kauli zilizotolewa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe  aliyekaririwa na gazeti hili akizungumzia sakata la straika huyo kupigwa kabali na beki  wa Ruvu Shooting, George Michael katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyozikutanisha timu hizo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani