Mbunge CCM amvaa Pinda
Mbunge wa Bukoba Mjini kwa tiketi ya CCM, Khamis Kagasheki amemtuhumu Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuwa ndiye aliyekuza mgogoro wa Bukoba uliosababisha madiwani wa halmashauri kushindwa kufanya vikao, akidai kuwa mtendaji huyo mkuu wa Serikali ameshindwa kuchukua hatua. Pinda hakuweza kupatikana, lakini msemaji wake alisema Waziri Mkuu ameshalishughulikia suala hilo kwa kiasi kikubwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Mbunge CCM: Pinda mzigo namba wani
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Betty Mkwasa amvaa mbunge Bahi
MKUU wa Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, Betty Mkwasa, amemlalamikia Mbunge wa Bahi, Omar Badwel (CCM), kwa kuwahamasisha wananchi kuharibu mazingira ikiwa ni pamoja na kufyeka msitu wa hifadhi ya taifa...
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Kagasheki amvaa Pinda mgogoro wa Bukoba
MBUNGE wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki (CCM), amemtuhumu Waziri Mkuu Mizengo Pinda, kuwa ameshindwa kumchukulia hatua aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk. Anatory Amani, ambaye amegoma kutii maagizo...
10 years ago
Mwananchi07 May
Nape amvaa Pinda mgomo wa madereva
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lu8a2-fLGRnDYYuZJ-xsAtNpYO7pHkDnOZn-9uiu840QG2nzNrxogUV6I6h2SenT8WCOsNlob-xr2zmRSbmgHBo2hFhMxodp/PINDA.jpg)
PINDA AMVAA DUDE, KISA KUTOFUNGA NDOA
10 years ago
Mwananchi21 Jul
Masha amkimbia Wenje, amvaa Ngeleja, Arfi aibukia CCM
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-IpZNc-J_yL0/VLpn1DMqYvI/AAAAAAAG9_k/CNynUnI-RVc/s72-c/unnamed.jpg)
MH. PINDA AMJULIA HALI MBUNGE VITA KAWAWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-IpZNc-J_yL0/VLpn1DMqYvI/AAAAAAAG9_k/CNynUnI-RVc/s1600/unnamed.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-m2cqkF16GOE/VLpn1EFxVfI/AAAAAAAG9_g/Jarg4RCqZvw/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
10 years ago
StarTV02 Dec
Mbunge amchongea Waziri Mkuu Pinda kwa Kinana.
Na Joseph Mpangala, Mtwara.
Mbunge wa Mtwara Mjini Hasnain Murji amemlalamikia Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa kushindwa kutoa kibali cha kuruhusu ulipaji wa fidia katika viwanja vya wakazi wa Mtwara ambavyo tayari vimepimwa na pesa kutoka Manispaa hiyo ipo tayari kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
Murji amesema amekutana na Waziri Mkuu mara tano lakini amekuwa akizungushwa kupata kibali jambo linalochangia ucheleweshwaji wa maendeleo ya ujenzi wa nyumba kwa wakazi wa maeneo...
10 years ago
Dewji Blog17 Jan
Pinda amtembelea mbunge Vita Kawawa anayepatiwa matibabu hospitali ya AMI jijini Dar
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Namtumbo, MheshimiwaVita Kawawa ambaye amelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam kwa matibabu. Kushoto ni mke wa mbunge huyo, Siwa Kawawa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Namtumbo, MheshimiwaVita Kawawa ambaye amelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam kwa matibabu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)