Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masha amkimbia Wenje, amvaa Ngeleja, Arfi aibukia CCM

>Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ya nchi, Lawrence Masha amemkwepa hasimu wake kisiasa, Ezekia Wenje katika Jimbo la Nyamagana, Mwanza na kwenda kugombea ubunge Sengerema ambako atavaana na mbunge anayemaliza muda wake, William Ngeleja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Arfi wa Chadema aibukia CCM

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi, akizungumza na waandishi wa habari.MBUNGE wa jimbo la Mpanda Mjini kwa miongo miwili, Said Amour Alfi (Chadema) amejiunga rasmi na CCM. Amekuwa miongoni mwa makada 23 wa chama hicho, waliochukua na kurejesha fomu za kuomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wenje amvaa Meya

MBUNGE wa Nyamagana jijini Mwanza, Ezekiel Wenje (CHADEMA), amemshambulia Meya wa jiji hilo, Stanslaus Mabula (CCM), akimuita ni mzigo aliyesababisha jiji kuwa na ukata mkubwa wa fedha za maendeleo. Alisema...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wenje aizidi kete CCM

MBUNGE wa Nyamagana kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ezekiel Wenje, amewaacha hoi viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na Rais Jakaya Kikwete, baada ya kuwataka wasitumie kodi za...

 

10 years ago

Mtanzania

Katibu CCM ampiga kombora Wenje

wenjetaNA PETER FABIAN, MWANZA

KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu, amewataka wananchi wa Jimbo la Nyamagana wamhoji Mbunge wa Jimbo hilo, Ezekiel Wenje, jinsi fedha za mfuko wa jimbo lao zilivyotumika kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita.

Mtaturu alisema hayo juzi jijini Mwanza kwa nyakati tofauti, wakati akihutubia wakazi wa Bugarika, Kata ya Pamba na alipokuwa akizindua shina la vijana waendesha pikipiki ambao ni wafuasi wa CCM katika Mtaa wa Nyamagana...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wenje: CCM imewatupa vijana, kina mama

MBUNGE wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA), amesema Serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeshindwa kuwathamini vijana na wanawake kitendo kinachosababisha uhalifu. Kauli hiyo, ameitoa juzi wakati wa harambee ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbunge CCM amvaa Pinda

Mbunge wa Bukoba Mjini kwa tiketi ya CCM, Khamis Kagasheki amemtuhumu Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuwa ndiye aliyekuza mgogoro wa Bukoba uliosababisha madiwani wa halmashauri kushindwa kufanya vikao, akidai kuwa mtendaji huyo mkuu wa Serikali ameshindwa kuchukua hatua. Pinda hakuweza kupatikana, lakini msemaji wake alisema Waziri Mkuu ameshalishughulikia suala hilo kwa kiasi kikubwa.

 

9 years ago

Vijimambo

MH.LAWRENCE MASHA NA VIONGOZI WENGINE WA CCM WAAHAMIA CHADEMA LEO

Kwa taarifa zilizotufikia leo kutoka Mkoani Arusha zinasema kuwa aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya ndani Mh.Lawrence Masha kakihama Chama cha Mapinduzi na kujiunga na CHADEMA leo.Pia Wanachama wa (CCM) na viongozi ambao ni Daniel Porokwa aliyekuwa katibu wa CCM mkoani Manyara, Robinson aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Arusha, aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa Arusha, Goodluck Sipira aliyekuwa katibu wa CCM mkoani  Arusha huyu anatokea Longido, Wazee wa kimila wa kimasai  pamoja na Wazee wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Nkumba arejea CCM, aibukia uzinduzi wa Magufuli

Aliyekuwa Mbunge wa Sikonge (CCM), Said Nkumba ambaye alihamia Chadema hivi karibuni ameamua kurejea katika chama chake cha zamani kwa madai alikosea njia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani