Katibu CCM ampiga kombora Wenje
NA PETER FABIAN, MWANZA
KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu, amewataka wananchi wa Jimbo la Nyamagana wamhoji Mbunge wa Jimbo hilo, Ezekiel Wenje, jinsi fedha za mfuko wa jimbo lao zilivyotumika kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita.
Mtaturu alisema hayo juzi jijini Mwanza kwa nyakati tofauti, wakati akihutubia wakazi wa Bugarika, Kata ya Pamba na alipokuwa akizindua shina la vijana waendesha pikipiki ambao ni wafuasi wa CCM katika Mtaa wa Nyamagana...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania12 May
Kada CCM ampiga katibu wake
NA ELIYA MBONEA, SIMANJIRO
KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa Kata ya Endiamtu Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, Issa Katuga anadaiwa kumpiga ngumi na mateke Katibu wa chama hicho, Salimu Kombo baada ya kumtuhumu kugoma kuidhinisha matumizi ya Sh bilioni moja kwa ajili ya kwenda kulipa madeni.
Tukio hilo linadaiwa kutokea mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ofisi za CCM za kata hiyo, baada ya Mwenyekiti Katunga kumtuhumu katibu wake kuwa amegoma kuidhinisha fedha...
10 years ago
VijimamboMtikila Amerusha Kombora Kwa Mgombea Urais Edward Lowasa..Nimekuwekea Hapa Hilo Kombora
KATIKA UCHAGUZI MKUU HUU TUSIRUHUSU MAFISADI WALICHEZEE TAIFA
Edward Lowasa ni balaa kwa Taifa!
Democratic Party (DP) inatarajia kufikisha Mahakamani chama chaCCM pamoja na wanachama wake sita, Edward Lowasa na wengine,kwa mujibu wa Ibara ya 26 ya Katiba ya Jamhuri ya Tanzania, kwa kosa
kubwa sana la kuvunja Katiba na Sheria za Nchi kwa kuanza kampeniya Uchaguzi kabla ya wakati unaopasa kwa mujibu wa Sheria.1 Tunao ushahidi mzito unaothibitisha kwamba Edward Lowasa nawenzake walianza kampeni ya...
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Wenje aizidi kete CCM
MBUNGE wa Nyamagana kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ezekiel Wenje, amewaacha hoi viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na Rais Jakaya Kikwete, baada ya kuwataka wasitumie kodi za...
10 years ago
Tanzania Daima24 Nov
Wenje: CCM imewatupa vijana, kina mama
MBUNGE wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA), amesema Serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeshindwa kuwathamini vijana na wanawake kitendo kinachosababisha uhalifu. Kauli hiyo, ameitoa juzi wakati wa harambee ya...
10 years ago
Mwananchi21 Jul
Masha amkimbia Wenje, amvaa Ngeleja, Arfi aibukia CCM
11 years ago
GPLTAMKO LA WENYEVITI WA CCM-MIKOA LA KUMPONGEZA KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHAMAN OMAR KINANA NA SEKRETARIETI YA CCM TAIFA
9 years ago
VijimamboSIKILIZA WALICHOKISEMA STANSLAUS MABULA (CCM) BAADA YA USHINDI PAMOJA NA EZEKIEL WENJE (CHADEMA) BAADA YA KUSHINDWA.
BONYEA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA Ezekiel Dibogo Wenje (Chadema) akiongea na wanahabari muda mfupi kabla ya matokeo kutangazwa usiku wa Kuamkia jana.Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Jijini Mwanza ambae pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Jiji hilo Titho Mahinya akitangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu Jimboni Nyamagana.
10 years ago
Vijimambo11 Dec
KATIBU WA CHADEMA WILAYA YA DR.SLAA AHAMIA CCM,MWIGULU AMVUNA KWA MANUFAA YA CCM NA TANZANIA
Mkutano Karatu Mjini.Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa karatu Mjini mapema hii leo asubuhi majira ya saa tatu wakati akisisitiza kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa Kufanyika tar.14.12.2014.Mwigulu akimtambulisha Mwanachama mpya wa CCM ambaye alikuwa katibu wa CHADEMA Wilaya ya karatu ndugu.Raulenti Bonta.Kadi na baadhi za Vifaa vya CHADEMA ambavyo vimerudishwa hii leo kwa mwigulu Nchemba...
10 years ago
MichuziMAKAMU MWENYEKITI WA CCM,RAIS DKT SHEIN NA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE WAWASILI PEMBA LEO