Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIKILIZA WALICHOKISEMA STANSLAUS MABULA (CCM) BAADA YA USHINDI PAMOJA NA EZEKIEL WENJE (CHADEMA) BAADA YA KUSHINDWA.

Stanslaus Shing'oma Mabula akiongea na wanahabari usiku wa kuamkia jana Octoba 27,2015 muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi wa Ubunge Jimbo la Nyamagana (CCM)

BONYEA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA Ezekiel Dibogo Wenje (Chadema) akiongea na wanahabari muda mfupi kabla ya matokeo kutangazwa usiku wa Kuamkia jana.Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Jijini Mwanza ambae pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Jiji hilo Titho Mahinya akitangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu Jimboni Nyamagana.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NHC YANYANGANYA MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFARI BAADA YA HALMASHAURI ZA MIKOA BAADA YA KUSHINDWA KUTUMIA FURSA HIYO

New Picture (1)  Kikundi cha ‘Mshikamano’ katika Halmashauri ya Wilaya ya Ileje kikimsikiliza Meneja wa Huduma kwa Jamii wa NHC BW. Muungano Saguya akiwaelezea namna ya kukuza ujuzi na kutumia Halmashauri zao kuongeza ufanisi wa kazi alipowatembelea nakusaidia kuondoa changamoto zinazowakabili. Vijana hao wameshapewe eneo la muda la kuendesheea shughuli zao na wameanza kutengeneza tofali kwa ajili ya kuwauzia wanmanchi.New Picture (2)Hii ndiyo hali iliyojitokeza Mkoani Katavi katika Halmashauri ya Mji wa Mpanda pale NHC...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA KAWE CHADEMA ALALA SEGEREA BAADA YA KUSHINDWA MASHARTI YA DHAMANA

Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee na wenzake tisa wamepelekwa katika Gereza la Segerea jijini Dar baada ya kushindwa kutimiza baadhi ya masharti ya dhamana yao.
Mdee na wenzake nane mapema leo walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar na kukana tuhuma zinazowakabili.Mdee na wenzake hao wanashitakiwa kwa makosa mawili kototii amri za maofisa wa polisi na kufanya maandamano kinyume na sheria Jumamosi iliyopita ya Oktoba...

 

10 years ago

Vijimambo

ALICHOKISEMA OMMY DIMPOZ BAADA YA KUSHINDWA KUUZURIA SHOW YA RUGBY NA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA CCM

Wakaniambia sasa hii show ndio tunatatizo nayo kwasababu ni show ambayo inahusisha chama cha kisiasa na kama uliona hata kwenye promotion yangu nilikuwa nimeandika kuwa nitakuwa na show ya miaka 38 ya CCM Marekani, unajua vyama cha siasa hivi Chadema, CCM wanamatawi yao kule Marekani watu wanaoishi nje mara nyingi uwa wanafanya sherehe sherehe za Annivesary , kwa hiyo wakaniambia kuwa hii visa yako haikuruhusu wewe kuperform kuna aina ya Visa ya inayoruhusu msanii ku perform kwasababu show...

 

9 years ago

Michuzi

Stanslaus Mabula alitaka Tamasha la Kushukuru

MBUNGE  wa Nyamagana Stanslaus Mabula ameiomba Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kushukuru linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwewnye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, lihamie jijini Mwanza kwa lengo la kufikisha shukrani kwa Mungu baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25. 
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi, Alex Msama wanayafanyia kazi mapendekezo ya Mabula ili kufanikisha tamasha hilo adhimu lenye nia ya kushukuru Mungu baada ya uchaguzi Mkuu.Msama alisema...

 

9 years ago

Raia Mwema

Wenje, Stanslaus, Okong'o ndio habari ya Nyamagana

MBUNGE wa Nyamagana mkoani Mwanza aliyemaliza muda wake, Ezekiah Wenje (Chadema) anakabiliwa na k

Christopher Gamaina

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchunguzi Kenya baada ya kushindwa

Kenya imeanzisha uchunguzi dhidi ya safu ya ukufunzi kufuatia kushindwa na Lesotho.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ronaldo aosha vyombo baada ya kushindwa

Aliyekuwa mchezaji wa timu ya Brazil Ronaldo alilazimika kuosha vyombo baada ya kushindwa katika mchezo wa karata

 

11 years ago

GPL

WAZIRI AJIUA BAADA YA KUSHINDWA UCHAGUZI

Waziri wa serikali za mitaa nchini Malawi, Godfrey Kamanya, amejiua baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu siku ya Jumanne. Waziri huyo alijipiga risasi nyumbani kwake baada ya kupata taarifa za kushindwa. Matokeo ya kura bado hayajatangazwa rasmi katika kile kinachosemekana kuwa uchaguzi wenye ushindani mkali sana. Afisa mkuu wa uchaguzi, amesema kuwa mfumo wa elektroniki umeharibika na maafisa wanatumia matokeo kwa njia ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Waziri ajinyonga baada ya kushindwa Malawi

Waziri mmoja nchini Malawi amejinyonga baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu unaoendelea nchini Malawi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani