ALICHOKISEMA OMMY DIMPOZ BAADA YA KUSHINDWA KUUZURIA SHOW YA RUGBY NA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA CCM
Wakaniambia sasa hii show ndio tunatatizo nayo kwasababu ni show ambayo inahusisha chama cha kisiasa na kama uliona hata kwenye promotion yangu nilikuwa nimeandika kuwa nitakuwa na show ya miaka 38 ya CCM Marekani, unajua vyama cha siasa hivi Chadema, CCM wanamatawi yao kule Marekani watu wanaoishi nje mara nyingi uwa wanafanya sherehe sherehe za Annivesary , kwa hiyo wakaniambia kuwa hii visa yako haikuruhusu wewe kuperform kuna aina ya Visa ya inayoruhusu msanii ku perform kwasababu show...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTEMBAPHOTO OFFICIAL PHOTOGRAPHER SIKU YA SHEREHE ZA CCM NEW YORK OMMY "DIMPOZ" NDIYO HABARI YA MJINI
http://tembaphoto.com/
11 years ago
Michuzi12 Feb
SHOW YA OMMY DIMPOZ WASHINGTON DC IMEHAIRISHWA HADI SPRING/SUMMER

TUNAOMBA SAMAHANI KWA USUMBUFU UTAKAOTOKEA KWANI KWA HESHIMA ZOTE TUMEKIPA CHAMA TAWALA NAFASI YAKE ! SWALI AU MAELEZO ZAIDI TUPIGIE 3016616207
11 years ago
Vijimambo
11 years ago
Dewji Blog01 Oct
10 years ago
Bongo513 Oct
Usome ujumbe wa pongezi wa mrembo wa Ommy Dimpoz baada ya kushinda tuzo ya Afrimma
10 years ago
VijimamboSIKILIZA WALICHOKISEMA STANSLAUS MABULA (CCM) BAADA YA USHINDI PAMOJA NA EZEKIEL WENJE (CHADEMA) BAADA YA KUSHINDWA.
BONYEA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA
10 years ago
VijimamboBREAKING NEEEEEEWWZZZZ OMMY DIMPOZ BIRTHDAY BASH YA CCM NEW YORK FEB 21
""AIN'T NO PARTY LIKE A NEW YORK PARTY"" Tuungane Tuiline Tanzania Yetu

UKUMBI WA RICHI RICH PALACE KWA NJE

UKUMBI UNAVYOONEKANA KWA NDANI
...
11 years ago
Bongo525 Jul
Adam Juma: Vifaa tutanunua Inshallah, ila nasisi tutaanza kutangaza bei mnazotulipa. Ni baada ya kauli aliyoitoa Ommy Dimpoz
10 years ago
Vijimambo