Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stanslaus Mabula alitaka Tamasha la Kushukuru

MBUNGE  wa Nyamagana Stanslaus Mabula ameiomba Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kushukuru linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwewnye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, lihamie jijini Mwanza kwa lengo la kufikisha shukrani kwa Mungu baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25. 
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi, Alex Msama wanayafanyia kazi mapendekezo ya Mabula ili kufanikisha tamasha hilo adhimu lenye nia ya kushukuru Mungu baada ya uchaguzi Mkuu.Msama alisema...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

SIKILIZA WALICHOKISEMA STANSLAUS MABULA (CCM) BAADA YA USHINDI PAMOJA NA EZEKIEL WENJE (CHADEMA) BAADA YA KUSHINDWA.

Stanslaus Shing'oma Mabula akiongea na wanahabari usiku wa kuamkia jana Octoba 27,2015 muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi wa Ubunge Jimbo la Nyamagana (CCM)

BONYEA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA Ezekiel Dibogo Wenje (Chadema) akiongea na wanahabari muda mfupi kabla ya matokeo kutangazwa usiku wa Kuamkia jana.Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Jijini Mwanza ambae pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Jiji hilo Titho Mahinya akitangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu Jimboni Nyamagana.

 

9 years ago

Michuzi

Sekeleti achomoza Tamasha la Krismasi, kushukuru

indexMWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili Afrika Mashariki na Kati, Ephraim Sekeleti amethibitisha kuwa mmoja wa waimbaji watakaopanda jukwaa la Tamasha la Krismasi na kushukuru linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama Sekeleti amekubali kuwa mmoja wa waimbaji wa Kimataifa watakaopanda jukwaa la Shukrani ambalo litakuwa katika Sikukuu ya kumbukumbu ya kuzaliwa Masia,...

 

9 years ago

Michuzi

ROSE MUHANDO KUNOGESHA TAMASHA LA KUSHUKURU DIAMOND JUBILEE


Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa matamasha ya muziki wa injili nchini Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam wakati alipofafanua mambo mbalimbali kuhusu maandalizi ya tamasha la kushukuru baada ya kufanyika na  kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa Tanzania salama salimini.

Msama amesema maandalizi yanaendelea vizuri na amemtangaza rasmi mwimbaji Rose Muhando kama mmoja wa waimbaji wa muziki wa injili watakaoshiriki katika tamasha hilo,  ...

 

9 years ago

Raia Mwema

Wenje, Stanslaus, Okong'o ndio habari ya Nyamagana

MBUNGE wa Nyamagana mkoani Mwanza aliyemaliza muda wake, Ezekiah Wenje (Chadema) anakabiliwa na k

Christopher Gamaina

 

11 years ago

Mwananchi

Watoto wafundishwe kushukuru wanapopewa kitu.

Natumaini wajukuu zangu wote ni wazima wa afya, mkiendelea na likizo hapo nyumbani lakini nawakumbusha msisahau kujisomea na kusahihisha mitihani yenu kwa wakubwa wenu pale mlipokosea.

 

5 years ago

Michuzi

Waadventista Tanzania: Mambo 4 muhimu katika Kushukuru

Na Mercy Kaanaeli Kanisa la Waadventista wa Sabato Tanzania, Jumamosi ya Mei 23 liliendesha ibada ya shukrani ikiwa ni kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, kumshukuru Mungu kwa kusikia maombi ya Tanzania na kuiepusha nchi na Janga la ugonjwa wa COVID-19. Ibada hiyo ya shukrani iliendeshwa na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Waadventista wa Sabato Tanzania Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania, Mchungaji Mark Walwa Malekana, katika kanisa la Ushindi...

 

10 years ago

Michuzi

CRDB YAFANYA IBADA MAALUM YA KUSHUKURU MUNGU

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (kulia) akibadilishana mawazo na mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Msasani, mchungaji Elgard Metili wakati wa ibada maalum ya kumshukuru mungu kwa ajili ya mafanikio ya Benki ya CRDB katika kipindi cha mwaka 2014.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kushoto) akiwa na mke wake wakiwa katika ibada ya Shukrani kutokana na mafanikio waliyopata katika kipindi cha mwaka 2014.
Baadhi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Nyerere alitaka Serikali tatu

Wakati mjadala wa Katiba Mpya hususani muundo wa Muungano ukipamba moto, imebainika kuwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kupendekeza kuanzishwa Serikali ya Tanganyika, kama sharti la kuingia kwenye Shirikisho la Afrika Mashariki.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mabula: “Sikuja kuitengua Torati”

Na:George Binagi-GB Pazzo & Vesterjtz

Mbunge Mteule wa Jimbo la Nyamagana Mkoani Mwanza kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Stanslaus Shing’oma Mabula, amewahakikishia Machinga Jijini Mwanza kuwa wataendelea kufanya biashara zao katika maeneo mbalimbali ya katikati ya Jiji hilo kama yaliyotengwa na uongozi wa halmashauri.

 Mabula aliyasema hayo jana wakati akiwashukuru wakazi wa Jimbo hilo kwa kumchagua kuwa mbunge wao katika Mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Mbugani, kufuatia uvumi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani