Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchunguzi Kenya baada ya kushindwa

Kenya imeanzisha uchunguzi dhidi ya safu ya ukufunzi kufuatia kushindwa na Lesotho.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NHC YANYANGANYA MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFARI BAADA YA HALMASHAURI ZA MIKOA BAADA YA KUSHINDWA KUTUMIA FURSA HIYO

New Picture (1)  Kikundi cha ‘Mshikamano’ katika Halmashauri ya Wilaya ya Ileje kikimsikiliza Meneja wa Huduma kwa Jamii wa NHC BW. Muungano Saguya akiwaelezea namna ya kukuza ujuzi na kutumia Halmashauri zao kuongeza ufanisi wa kazi alipowatembelea nakusaidia kuondoa changamoto zinazowakabili. Vijana hao wameshapewe eneo la muda la kuendesheea shughuli zao na wameanza kutengeneza tofali kwa ajili ya kuwauzia wanmanchi.New Picture (2)Hii ndiyo hali iliyojitokeza Mkoani Katavi katika Halmashauri ya Mji wa Mpanda pale NHC...

 

9 years ago

Vijimambo

SIKILIZA WALICHOKISEMA STANSLAUS MABULA (CCM) BAADA YA USHINDI PAMOJA NA EZEKIEL WENJE (CHADEMA) BAADA YA KUSHINDWA.

Stanslaus Shing'oma Mabula akiongea na wanahabari usiku wa kuamkia jana Octoba 27,2015 muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi wa Ubunge Jimbo la Nyamagana (CCM)

BONYEA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA Ezekiel Dibogo Wenje (Chadema) akiongea na wanahabari muda mfupi kabla ya matokeo kutangazwa usiku wa Kuamkia jana.Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Jijini Mwanza ambae pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Jiji hilo Titho Mahinya akitangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu Jimboni Nyamagana.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waziri ajinyonga baada ya kushindwa Malawi

Waziri mmoja nchini Malawi amejinyonga baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu unaoendelea nchini Malawi.

 

11 years ago

GPL

WAZIRI AJIUA BAADA YA KUSHINDWA UCHAGUZI

Waziri wa serikali za mitaa nchini Malawi, Godfrey Kamanya, amejiua baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu siku ya Jumanne. Waziri huyo alijipiga risasi nyumbani kwake baada ya kupata taarifa za kushindwa. Matokeo ya kura bado hayajatangazwa rasmi katika kile kinachosemekana kuwa uchaguzi wenye ushindani mkali sana. Afisa mkuu wa uchaguzi, amesema kuwa mfumo wa elektroniki umeharibika na maafisa wanatumia matokeo kwa njia ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ronaldo aosha vyombo baada ya kushindwa

Aliyekuwa mchezaji wa timu ya Brazil Ronaldo alilazimika kuosha vyombo baada ya kushindwa katika mchezo wa karata

 

10 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa auawa baada ya kushindwa kujieleza

MTU mmoja mwenye umri kati ya miaka 25 na 30 ambaye jina lake halifahamiki, ameuawa baada ya kushindwa kujieleza juu ya pikipiki ambayo yeye na mwenzake walikuwa wanajaribu kuiuza Chalinze.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mourinho agomea wanahabari baada ya kushindwa

Meneja wa Chelsea Jose Mourinho alikataa kuzungumza na wanahabari baada ya timu yake kushindwa 2-1 ugenini West Ham.

 

10 years ago

StarTV

Baada ya kushindwa, Viongozi wa upinzani wajiuzulu Uingereza.

Kiongozi wa chama cha Leba nchini Uingereza Ed Miliband amewaambia wanaharakati wa chama hicho kwamba anajiuzulu kama kiongozi wa chama hicho kufuatia matokeo duni ya uchaguzi mkuu.

Miliband ambaye amempongeza Waziri mkuu David Cameron kwa kuchaguliwa kwa awamu ya pili amesema kuwa anachukua jukumu la kushindwa kwa chama chake katika uchaguzi huo.

Chama cha leba kilishindwa vibaya katika uchaguzi huo.

Katika hotuba aliyotoa mjini London,Miliband alisema kuwa ni wakati mtu mwengine anafaa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Maneno ya Masanja Baada ya Kushindwa Kura za Maoni Ludewa..

List ya mastaa wa Bongo Tanzania ambao walijitosa na kujipanga kwenye foleni ya kuusaka Ubunge iliongezeka baada ya mchekeshaji kutoka Kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji nae kujitosa kwenye foleni hiyo.   Masanja alithibitisha kwamba kazi ya Ubunge anaiweza   “Orijino Komedi ipo, mimi sio member wa kundi, mimi ni mwanzilishi.. siwezi kuacha Komedi, mbona nilikuwa Mchungaji na sikuacha Komedi.. nitakuwa Mbunge, Komedi na Church…” Hii ni siku chache zilizopita kwenye exclusive...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani