Mourinho agomea wanahabari baada ya kushindwa
Meneja wa Chelsea Jose Mourinho alikataa kuzungumza na wanahabari baada ya timu yake kushindwa 2-1 ugenini West Ham.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
Mourinho asema hajazoea kushindwa
Mourinho amesema amezoea sana kushinda na ametatizika kiasi kuzoea hali baada ya Chelsea kuanza vibaya kampeini ya ligi Uingereza.
9 years ago
VijimamboSIKILIZA WALICHOKISEMA STANSLAUS MABULA (CCM) BAADA YA USHINDI PAMOJA NA EZEKIEL WENJE (CHADEMA) BAADA YA KUSHINDWA.
BONYEA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA
10 years ago
Vijimambo03 Jul
NHC YANYANGANYA MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFARI BAADA YA HALMASHAURI ZA MIKOA BAADA YA KUSHINDWA KUTUMIA FURSA HIYO
![New Picture (1)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/New-Picture-1.png)
![New Picture (2)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/New-Picture-2.png)
10 years ago
BBCSwahili15 Aug
Uchunguzi Kenya baada ya kushindwa
Kenya imeanzisha uchunguzi dhidi ya safu ya ukufunzi kufuatia kushindwa na Lesotho.
10 years ago
Habarileo28 Sep
Mtuhumiwa auawa baada ya kushindwa kujieleza
MTU mmoja mwenye umri kati ya miaka 25 na 30 ambaye jina lake halifahamiki, ameuawa baada ya kushindwa kujieleza juu ya pikipiki ambayo yeye na mwenzake walikuwa wanajaribu kuiuza Chalinze.
10 years ago
BBCSwahili21 Nov
Ronaldo aosha vyombo baada ya kushindwa
Aliyekuwa mchezaji wa timu ya Brazil Ronaldo alilazimika kuosha vyombo baada ya kushindwa katika mchezo wa karata
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
WAZIRI AJIUA BAADA YA KUSHINDWA UCHAGUZI
Waziri wa serikali za mitaa nchini Malawi, Godfrey Kamanya, amejiua baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu siku ya Jumanne. Waziri huyo alijipiga risasi nyumbani kwake baada ya kupata taarifa za kushindwa.
Matokeo ya kura bado hayajatangazwa rasmi katika kile kinachosemekana kuwa uchaguzi wenye ushindani mkali sana. Afisa mkuu wa uchaguzi, amesema kuwa mfumo wa elektroniki umeharibika na maafisa wanatumia matokeo kwa njia ya...
11 years ago
BBCSwahili22 May
Waziri ajinyonga baada ya kushindwa Malawi
Waziri mmoja nchini Malawi amejinyonga baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu unaoendelea nchini Malawi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania