Maneno ya Masanja Baada ya Kushindwa Kura za Maoni Ludewa..
List ya mastaa wa Bongo Tanzania ambao walijitosa na kujipanga kwenye foleni ya kuusaka Ubunge iliongezeka baada ya mchekeshaji kutoka Kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji nae kujitosa kwenye foleni hiyo. Masanja alithibitisha kwamba kazi ya Ubunge anaiweza “Orijino Komedi ipo, mimi sio member wa kundi, mimi ni mwanzilishi.. siwezi kuacha Komedi, mbona nilikuwa Mchungaji na sikuacha Komedi.. nitakuwa Mbunge, Komedi na Church…” Hii ni siku chache zilizopita kwenye exclusive...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo511 Nov
Masanja aangukia pua kwenye kura za maoni ya ubunge Ludewa
![Masanja Mkandamizaji](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Masanja-Mkandamizaji-300x194.png)
Mchekeshaji, Masanja Mkandanizaji ameangukia pua katika kura za maoni za ubunge katika jimbo la Ludema baada ya kupata kura chache.
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi, Deo Ngalawa aliwashinda makada wenzake tisa waliokuwa wakiwania nafasi hiyo kwa kupata kura 537 akifuatiwa na mdogo wa marehemu Filikunjombe, Philip aliyepata kura 501.
Makada wengine ni Edgar Lugome, Johnson Mgimba, Emmanuel Mgaya maarufu Masanja Mkandamizaji (19), James Mgaya (72), Jackob Mpangala (3), Evaristo Mtitu (21)...
9 years ago
Habarileo30 Aug
‘Sihami CCM kwa kushindwa kura za maoni’
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) mkoa wa Singida, Diana Chilolo amesema, hawezi kukimbilia upinzani kwa sababu ya kushindwa kwenye kura za maoni za ubunge viti maalumu.
10 years ago
Dewji Blog04 Aug
Zahara anena baada ya kushindwa kupata kura za kutosha Tabora
Baada ya kura kutotosha kumfanya apite katika kura za maoni kugombea Ubunge kwa viti vya Vijana mkoani Tabora, Zahara Muhidin Issa Michuzi (pichani) amepokea matokeo kwa moyo mkunjufu na kumpongeza mshindi Irene Uwoya na kumuahidi ushirikiano katika mambo yote mema ya kuendeleza vijana mkoani humo.
Zahara ambaye sasa ataelekeza nguvu zake katika kusaka digrii ya pili ya uchumi, amesema kwamba anawashukuru wajumbe wa mkutano wa uchaguzi, baba yake, mama walezi, kaka Mkala Fundikira wa...
10 years ago
MichuziBINTI YETU ANENA BAADA YA KUSHINDWA KUPATA KURA ZA KUTOSHA TABORA
10 years ago
GPLZUHURA MICHUZI ANENA BAADA YA KUSHINDWA KUPATA KURA ZA KUTOSHA TABORA
10 years ago
BBCSwahili21 Apr
Kinachotarajiwa baada ya kura ya maoni
9 years ago
Bongo506 Nov
Masanja Mkandamizaji ajitosa kumrithi Filikunjombe Ludewa
![11950556_494360970724890_593438941_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11950556_494360970724890_593438941_n-300x194.jpg)
Mchekesha wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji amekuwa miongoni mwa wagombea sita waliojitokeza kuwania nafasi ya ubunge katika jimbo la Ludewa, Njombe kwa tiketi ya CCM.
Uchaguzi katika jimbo la Ludewa uliahirishwa baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge na mgombea wa jimbo hilo, Deogratius Filikunjombe.
Mwingine aliyejitokeza kwenye kinyang’anyiro hicho ndani ya CCM ni mdogo wa marehemu, Philipo Filikunjombe.
Akizungumza na Mwananchi Digital, Katibu wa CCM wilaya ya Ludewa, Luciano...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fhPygtaQPtk/Vb4bsbbpRKI/AAAAAAAHtTo/oHcxbFJRyxs/s72-c/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini
![](http://4.bp.blogspot.com/-fhPygtaQPtk/Vb4bsbbpRKI/AAAAAAAHtTo/oHcxbFJRyxs/s640/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto 6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri 385Brian Baraka 263
![](http://1.bp.blogspot.com/-LMP3afylAhU/Vb4bssanzKI/AAAAAAAHtTw/-b5C-BzlmoM/s640/unnamed%2B%252833%2529.jpg)
9 years ago
Bongo Movies14 Nov
Masanja Asema Sababu Zilizomfanya Ashindwe Jimbo la Ludewa
Mwigizaji wa filamu za vichekesho,Masanja alikuwa ni mmoja kati makada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) waliochukua fomu za kugombea ubunge katika jimbo la Ludewa kwa ajili ya kumrithi aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo aliyefariki kwenye ajali ya helkopta,marehemu Deo Fulikunjombe amezungumza sababu ya kushindwa kwenye amezungumzia sababu kushindwa kwenye kinyang’anyiro hicho,alipata kura 19 huku mshindi ambaye ni Deo Ngalawa akiibuka kwa kura 537.
’Cha kwanza kabisa ambacho sikutegemea nilichokuwa...