Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masanja Mkandamizaji ajitosa kumrithi Filikunjombe Ludewa

11950556_494360970724890_593438941_n

Mchekesha wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji amekuwa miongoni mwa wagombea sita waliojitokeza kuwania nafasi ya ubunge katika jimbo la Ludewa, Njombe kwa tiketi ya CCM.

Masanja Mkandamizaji

Uchaguzi katika jimbo la Ludewa uliahirishwa baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge na mgombea wa jimbo hilo, Deogratius Filikunjombe.

Mwingine aliyejitokeza kwenye kinyang’anyiro hicho ndani ya CCM ni mdogo wa marehemu, Philipo Filikunjombe.

Akizungumza na Mwananchi Digital, Katibu wa CCM wilaya ya Ludewa, Luciano...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Masanja Mkandamizaji ajitosa kumrithi Filikunjombe

Wagombea tisa wakiwemo mdogo wa marehemu Deo Filikunjombe na mchekeshaji Masanja Mkandamizaji wamejitosa kuwania ubunge wa jimbo la Ludewa, mkoani Njombe kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

9 years ago

Bongo Movies

Masanja Ajitosa Kumrithi Filikunjombe

Wagombea tisa wakiwemo mdogo wa marehemu Deo Filikunjombe na mchekeshaji Masanja Mkandamizaji wamejitosa kuwania ubunge wa jimbo la Ludewa, mkoani Njombe kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Uchaguzi wa kumpata mbunge wa jimbo hilo ulilazimika kuahirishwa baada ya kutokea kifo cha aliyekuwa mbunge na mgombea wa jimbo hilo kupitia CCM, Deogratius Filikunjombe.

Miongoni mwa waliojitokeza kwenye kinyang’anyiro hicho ndani ya CCM ni mdogo wa marehemu, Philipo Filikunjombe na msanii wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MASANJA MKANDAMIZAJI ATEMBELEA SamSPRO Studio WASHINGTON, DC

Mhubiri wa kimataifa na mchekeshaji maarufu Emmanuel Mgaya au jina maarufu Masanja Mkandamizaji juzi alitembelea studio za kuzalisha muziki na video za SamSPRO Studios zilizoko Washington, DC. Masanja kama anavyoonekana kwenye picha aliambatana na waimbaji wa nyimbo za injili Milca Kakete kutoka Canada na Milca Thomas kutoka North Carolina, pamoja na baadhi ya waimbaji wa kundi la The Sound of Glory kutoka kanisa la The Way of the Cross Gospel Ministries lililoko Washington DC ambako...

 

11 years ago

Michuzi

MSIKILIZE MASANJA MKANDAMIZAJI ETI HATAMANI KWENDA MBINGUNI

MSANII WA VICHEKESHO MASANJA MKANDAMIZAJI AKIELEZA SABABU ZA KUTOTAMANI KWENDA KWA BABA LICHA YA KWAMBA AMEOKOKA NA KUMPENDA YESU. VIDEO IMEPIGWA NA DIXON BUSAGAGA WA GLOBU YA JAMII KANDA YA KASKAZINI.

 

11 years ago

Michuzi

masanja mkandamizaji azidi kuchanja mbuga akihubiri neno la Mungu

 Muigizaji  wa kundi la vichekesho la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akiwa na wachezaji wake katika moja ya kazi zake za kuimba injili na kuhubiri neno la Mungu jijini Dar es salaam kwa mafanikio makubwa.  Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akihubiri neno la Bwana

 

11 years ago

Michuzi

MASANJA MKANDAMIZAJI ALIVYO WAVUNJA MBAVU WAALIKWA HARUSI YA MBUNGE JOSHUA NASSARI

Video imepigwa  na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini..

 

10 years ago

Vijimambo

SOMA ALICHOKIANDIKA MASANJA MKANDAMIZAJI BAADA YA DIAMOND PLATNUMZ KUMZAWADIA WEMA SEPETU GARI


Jitiririshe hapa alichokiandika Masanja Mkandamizajiiiiiiiiiii

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani