Masanja Ajitosa Kumrithi Filikunjombe
Wagombea tisa wakiwemo mdogo wa marehemu Deo Filikunjombe na mchekeshaji Masanja Mkandamizaji wamejitosa kuwania ubunge wa jimbo la Ludewa, mkoani Njombe kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Uchaguzi wa kumpata mbunge wa jimbo hilo ulilazimika kuahirishwa baada ya kutokea kifo cha aliyekuwa mbunge na mgombea wa jimbo hilo kupitia CCM, Deogratius Filikunjombe.
Miongoni mwa waliojitokeza kwenye kinyang’anyiro hicho ndani ya CCM ni mdogo wa marehemu, Philipo Filikunjombe na msanii wa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi05 Nov
Masanja Mkandamizaji ajitosa kumrithi Filikunjombe
9 years ago
Bongo506 Nov
Masanja Mkandamizaji ajitosa kumrithi Filikunjombe Ludewa
![11950556_494360970724890_593438941_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11950556_494360970724890_593438941_n-300x194.jpg)
Mchekesha wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji amekuwa miongoni mwa wagombea sita waliojitokeza kuwania nafasi ya ubunge katika jimbo la Ludewa, Njombe kwa tiketi ya CCM.
Uchaguzi katika jimbo la Ludewa uliahirishwa baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge na mgombea wa jimbo hilo, Deogratius Filikunjombe.
Mwingine aliyejitokeza kwenye kinyang’anyiro hicho ndani ya CCM ni mdogo wa marehemu, Philipo Filikunjombe.
Akizungumza na Mwananchi Digital, Katibu wa CCM wilaya ya Ludewa, Luciano...
10 years ago
Vijimambo16 Jul
Nape ajitosa kumrithi Membe Mtama.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Nape-16July2015.jpg)
Baadhi ya vigogo wa serikali, Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye na waliokuwa baadhi ya wabunge wa majimbo nchini, jana walijikuta wakipigana vikumbo katika ofisi za chama hicho kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania ubunge katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika nchini Oktoba 25, mwaka huu.
Hatua hiyo ilikuja baada ya Chama hicho kutangaza kuanza kutoa fomu hizo jana kwa wanachama wake...
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Makada tisa CCM wajitosa kumrithi Filikunjombe
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
Dk. Nchimbi kumrithi Mwigulu
MWELEKEO mpya wa mchakato wa Katiba mpya, adhabu kwa wagombea walioanza mbio za kusaka urais unatarajia unatarajia kujulikana leo baada ya kumalizika kwa kikao cha Kamati Kuu (CC), ya Chama...
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Goran kumrithi Phiri Simba
9 years ago
BBCSwahili20 Oct
Michael Platin kumrithi Blatter?
10 years ago
Dewji Blog30 Oct
Mugabe awakosoa wanaotaka kumrithi
Na Mwandishi wetu
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe (pichani) amewakosoa wanaoanzisha mchakato wa kuwania nafasi ya kumrithi kwenye uenyekiti wa chama tawala cha ZANU PFnchini humo.
Akiwahutubia wananchi hii leo kwa njia ya televisheni Rais Mugabe amesema kuwa wako watu ndani ya chama tawala cha ZANU PF ambao wanawania nafasi za juu na hata wako tayari kuwaondoa viongozi wa ngazi za juu ili waweze kufikia malengo yao.
Rais Mugabe amesema amepambana na hata kufungwa jela kwa miaka kadhaa kwa...
10 years ago
Habarileo02 Jun
Mbio za kumrithi Kikwete zanoga
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Profesa Mark Mwandosya (65) na Mbunge wa Afrika Mashariki, Charles Makongoro Nyerere na Balozi mstaafu Ali Karume, jana waliungana na makada wengine wa CCM, kutangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, kwa lengo la kuiongoza Serikali ya Awamu ya Tano.