Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Michael Platin kumrithi Blatter?

Rais wa shirikisho la soka barani Ulaya UEFA Michael Platini amesema bado ana moyo wa kutaka kumrithi Sepp Blatter

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Vigogo Blatter na Platin hatarini kufungiwa miaka 7 kwa  Kashfa Ya Rushwa Fifa

Ndoto za Rais wa Shirikisho la soka Barani Ulaya,Michel Platin kuwania kiti cha urais wa FIFA sasa zinaonekana kuota mbawa kutokana na kamati ya maadili ya chombo hicho kikubwa cha soka kushauri wafungiwe miaka saba pamoja na Sepp Blatter

Platin pamoja na Sepp Blatter wanaotumikia adhabu ya kusimamishwa siku 90 ndani ya FIFA,kamati hiyo imebaini wana kosa baada ya kupeana fedha paundi  milioni 1.3 zenye mazingira ya rushwa.

Kamati maalum inayosikiliza shauri hilo na kutoa hukumu kabla ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Blatter na Platini wafungiwa miaka 8 kutojihusisha na soka, Blatter achukua uamuzi huu

Untitled

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Rais wa Shirikisho la Dunia la Soka (FIFA), Sepp Blatter (kushoto) na Rais wa UEFA, Michel Platini wamefungiwa miaka 8 kutojihusiaha na soka na kamati ya maadili ya FIFA kwa kosa la kutumia mamlaka yao vibaya kwa kosa la matumizi mabaya ya fedha za FIFA.

Blatter na Platini wanadaiwa kuwa mwaka 2011, kugawiana pesa kiasi cha Euro Milioni 1.35 ambapo Blatter alimlipa Platini kama malipo kwa kazi ya kuwa mshauri wa Blatter mwaka 1999-2002.

Licha ya kuwafungia miaka...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dk. Nchimbi kumrithi Mwigulu

MWELEKEO mpya wa mchakato wa Katiba mpya, adhabu kwa wagombea walioanza mbio za kusaka urais unatarajia unatarajia kujulikana leo baada ya kumalizika kwa kikao cha Kamati Kuu (CC), ya Chama...

 

10 years ago

Mwananchi

Goran kumrithi Phiri Simba

Siku za Patrick Phiri kwenye klabu ya Simba zimeanza kuhesabika baada ya viongozi kuanza mazungumzo na kocha Mserbia, Goran Kopunovic.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mugabe awakosoa wanaotaka kumrithi

robert-mugabe

Na Mwandishi wetu

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe (pichani) amewakosoa wanaoanzisha mchakato wa kuwania nafasi ya kumrithi kwenye uenyekiti wa chama tawala cha ZANU PFnchini humo.

Akiwahutubia wananchi hii leo kwa njia ya televisheni Rais Mugabe amesema kuwa wako watu ndani ya chama tawala cha ZANU PF ambao wanawania nafasi za juu na hata wako tayari kuwaondoa viongozi wa ngazi za juu ili waweze kufikia malengo yao.

Rais Mugabe amesema  amepambana na hata kufungwa jela kwa miaka kadhaa kwa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Masanja Ajitosa Kumrithi Filikunjombe

Wagombea tisa wakiwemo mdogo wa marehemu Deo Filikunjombe na mchekeshaji Masanja Mkandamizaji wamejitosa kuwania ubunge wa jimbo la Ludewa, mkoani Njombe kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Uchaguzi wa kumpata mbunge wa jimbo hilo ulilazimika kuahirishwa baada ya kutokea kifo cha aliyekuwa mbunge na mgombea wa jimbo hilo kupitia CCM, Deogratius Filikunjombe.

Miongoni mwa waliojitokeza kwenye kinyang’anyiro hicho ndani ya CCM ni mdogo wa marehemu, Philipo Filikunjombe na msanii wa...

 

10 years ago

Habarileo

Mbio za kumrithi Kikwete zanoga

Charles Makongoro NyerereWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Profesa Mark Mwandosya (65) na Mbunge wa Afrika Mashariki, Charles Makongoro Nyerere na Balozi mstaafu Ali Karume, jana waliungana na makada wengine wa CCM, kutangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, kwa lengo la kuiongoza Serikali ya Awamu ya Tano.

 

10 years ago

Mwananchi

Mpendazoe ataka kumrithi Arfi Chadema

Aliyekuwa mgombea wa ubunge katika Jimbo la Segerea kupitia Chadema, Fred Mpendazoe amejitokeza kuwania nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama hicho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani