MASANJA MKANDAMIZAJI ATEMBELEA SamSPRO Studio WASHINGTON, DC
Mhubiri wa kimataifa na mchekeshaji maarufu Emmanuel Mgaya au jina maarufu Masanja Mkandamizaji juzi alitembelea studio za kuzalisha muziki na video za SamSPRO Studios zilizoko Washington, DC. Masanja kama anavyoonekana kwenye picha aliambatana na waimbaji wa nyimbo za injili Milca Kakete kutoka Canada na Milca Thomas kutoka North Carolina, pamoja na baadhi ya waimbaji wa kundi la The Sound of Glory kutoka kanisa la The Way of the Cross Gospel Ministries lililoko Washington DC ambako...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMCHEZA SINEMA WA BONGO MOVI CHARLES MAGALI ATEMBELEA KILIMANJARO STUDIO, WASHINGTON, DC.
9 years ago
Mwananchi05 Nov
Masanja Mkandamizaji ajitosa kumrithi Filikunjombe
9 years ago
Bongo506 Nov
Masanja Mkandamizaji ajitosa kumrithi Filikunjombe Ludewa
Mchekesha wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji amekuwa miongoni mwa wagombea sita waliojitokeza kuwania nafasi ya ubunge katika jimbo la Ludewa, Njombe kwa tiketi ya CCM.
Uchaguzi katika jimbo la Ludewa uliahirishwa baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge na mgombea wa jimbo hilo, Deogratius Filikunjombe.
Mwingine aliyejitokeza kwenye kinyang’anyiro hicho ndani ya CCM ni mdogo wa marehemu, Philipo Filikunjombe.
Akizungumza na Mwananchi Digital, Katibu wa CCM wilaya ya Ludewa, Luciano...
11 years ago
Michuzi09 Jul
MSIKILIZE MASANJA MKANDAMIZAJI ETI HATAMANI KWENDA MBINGUNI
11 years ago
Michuzimasanja mkandamizaji azidi kuchanja mbuga akihubiri neno la Mungu
11 years ago
Michuzi26 Jun
MASANJA MKANDAMIZAJI ALIVYO WAVUNJA MBAVU WAALIKWA HARUSI YA MBUNGE JOSHUA NASSARI
10 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboSOMA ALICHOKIANDIKA MASANJA MKANDAMIZAJI BAADA YA DIAMOND PLATNUMZ KUMZAWADIA WEMA SEPETU GARI
Jitiririshe hapa alichokiandika Masanja Mkandamizajiiiiiiiiiii