Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tambwe amvaa Hans Poppe

Mshambuliaji wa Yanga, raia wa Burundi, Amissi Tambwe. Na Mwandishi wetu
MSHAMBULIAJI wa Yanga, raia wa Burundi, Amissi Tambwe, amesikitishwa na kauli zilizotolewa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe  aliyekaririwa na gazeti hili akizungumzia sakata la straika huyo kupigwa kabali na beki  wa Ruvu Shooting, George Michael katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyozikutanisha timu hizo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Hans Poppe awabeza Yanga

Hans PoppeNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya klabu ya Simba, Zacharia Hans Poppe, amewabeza wapinzani wao Yanga akidai kuwa kipigo walichokipata kutoka kwa timu waliyoidharau kimewaumbua.
Simba ndio walikuwa wenyeji wa mchezo huo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ambapo Yanga ilikubali kipigo cha bao 1-0.
Akizungumza na MTANZANIA mara baada ya kumalizika mchezo huo, Hans Poppe alisema maneno mengi...

 

10 years ago

GPL

Hans Poppe asusa keki, maji

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe. Nicodemus Jonas na Saphyna Mlawa SIMBA imeandika barua kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutaka mwongozo wa Ramadhani Singano ‘Messi’ kutangazwa mchezaji huru, lakini Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amesema hatotumia keki wala maji ya Azam. Hans Poppe ametoa kauli hiyo kupinga kitendo cha Azam FC kumsajili Messi siku...

 

10 years ago

TheCitizen

KAGERA WAR: Uganda’s secret on Hans Poppe’s body

>Hans Poppe was the Assistant Commissioner of Police in charge of the present Kagera Region when Ugandan soldiers, under the command of Lt Col Abdul Kisule, entered the country to rescue their colleagues who had been captured by the Tanzanian police after wandering into foreign territory in 1971.

 

10 years ago

Michuzi

OBITUARY: I am Proud of what you made out of me Mama Anna Mercat Hans Poppe!

The late Mama Anna Mercant Hans Poppe
during her lifetime  with son Zacharia




By Danford MpumilwaI must have been a brilliant 14 year old young boy when I joined form one at the then just christened Mkwawa High School, formerly Saint Michaels and Georges, in Iringa region. The year was 1968. I say I must have been brilliant because out of 45 pupils who sat for the primary school leaving exam at the then Tandala Upper Middle Boarding Primary School in Ukingaland in Njombe, only three were...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mongela amvaa JK

WAKATI tuzo ya kuuenzi Muungano iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwa Jaji Joseph Warioba ikiibua maswali, Rais mstaafu wa Bunge la Afrika, Gertrude Mongela, amekosoa upendeleo uliofanywa na Rais Jakaya...

 

11 years ago

Mwananchi

Hans: Tutaendelea kushambulia

>Kocha wa  Yanga, Hans Van Der Pluijm amesema wataendelea kucheza  soka la kushambulia muda wote katika pambano la marudiano dhidi ya Komoronize litakalofanyika ugenini Moroni, Comoro.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yamtahadhalisha Hans

>Uongozi wa Yanga umemtaka kocha wa timu hiyo Hans van Der Plyum kupanga timu kwa kuangalia uwezo wa wachezaji na si majina kama alivyokuwa anafanya Ernie Brandts.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wenje amvaa Meya

MBUNGE wa Nyamagana jijini Mwanza, Ezekiel Wenje (CHADEMA), amemshambulia Meya wa jiji hilo, Stanslaus Mabula (CCM), akimuita ni mzigo aliyesababisha jiji kuwa na ukata mkubwa wa fedha za maendeleo. Alisema...

 

10 years ago

Vijimambo

Kinana amvaa Sefue.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amemuomba Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, kuwasimamisha kazi watumishi wa serikali wanaihusishwa na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kutoka akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu Tanzania (Bot) hadi hapo tuhuma dhidi yao zitakamalizika.

Kinana alitoa ombi hilo katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Dodoma juzi jioni ikiwa ni sehemu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani