Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yamtahadhalisha Hans

>Uongozi wa Yanga umemtaka kocha wa timu hiyo Hans van Der Plyum kupanga timu kwa kuangalia uwezo wa wachezaji na si majina kama alivyokuwa anafanya Ernie Brandts.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Hans Poppe awabeza Yanga

Hans PoppeNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya klabu ya Simba, Zacharia Hans Poppe, amewabeza wapinzani wao Yanga akidai kuwa kipigo walichokipata kutoka kwa timu waliyoidharau kimewaumbua.
Simba ndio walikuwa wenyeji wa mchezo huo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ambapo Yanga ilikubali kipigo cha bao 1-0.
Akizungumza na MTANZANIA mara baada ya kumalizika mchezo huo, Hans Poppe alisema maneno mengi...

 

11 years ago

GPL

KOCHA HANS AAGA YANGA

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Hans Van Der Pluijm kocha mkuu wa timu ya Young Africans leo amewaaga rasmi wachezaji wake, viongozi, wapenzi  na wanachama baada ya kumalizaa wake wa miezi sita na sasa anakwenda kujiunga na timu Al Shoalah FC iliyopo Ligi Kuu nchini Saudi Arabia. Kocha huyo mdachi ambaye ameiongoza Young Africans kwa kipindi cha miezi mitano amesema anashukuru kwa sapoti aliyokua akiipata kutoka...

 

10 years ago

GPL

Hans Pluijm amtaka Humud Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Sweetbert Lukonge Dar es Salaam KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amedaiwa kulipendekeza jina na kiungo wa Coastal Union ya Tanga, Abdulhalim Humud katika orodha ya wachezaji anaohitaji kuwasajili kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara. Pluijm anamhitaji mchezaji huyo ili aweze kuimarisha safu yake ya kiungo ambayo bado haijakaa sawa kama yeye anavyohitaji iwe. Kpah Sherman...

 

10 years ago

Mtanzania

Hans Pluijm: Nimesajili wenye nidhamu Yanga

pluijmNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van der Pluijm, ameeleza licha ya kusajili wachezaji bora katika kikosi chake, lakini pia nyota wake hao wana nidhamu ya hali ya juu hali inayomfanya aone hakuna cha kuizuia
Yanga kutwaa ubingwa na kufanya vizuri michuano ya kimataifa.

Mholanzi huyo alisema ubora wa kikosi chake na nidhamu ndiyo sifa kubwa itakayoiwezesha timu hiyo kufanya vizuri.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Pluijm alisema anaamini ubora wa kikosi chake na...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Hans wa Yanga kumpanga Okwi leo?

Katibu Mkuu wa Yanga, Benno Njovu amesema kama kocha wa timu yao, Hans Van der Pluijm akiamua kumpanga leo mshambuliaji Emmanuel Okwi atacheza kwa sababu wao hawana mchezaji mwenye matatizo.

 

10 years ago

Michuzi

Hans van Der Pluijm na Charles Mkwassa watajwa kuwa makocha wapya wa Yanga

Klabu ya Yanga imemtaja,  Dr Jonas Tiboroha (45) kuwa katibu mkuu wa klabu na kuwathibitisha rasmi Hans van Der Pluijm na Charles Mkwassa kuwa makocha wapya sambamba na kuitaka sekretarieti iliyomaliza muda wake kukabidhi ofisi haraka.
Pluijm na Mkwassa wanachukua nafasi ya makocha wa Yanga, Marcio Maximo na Leonardo Neiva waliotupiwa virago huku Tiboraha akichukua mikoba ya Beno Njovu aliyemaliza muda wake.
Awali mkufunzi wa Fifa, Henry Tandau alipigiwa chapuo kuchukua cheo cha Ukatibu baada...

 

11 years ago

Mwananchi

Hans: Tutaendelea kushambulia

>Kocha wa  Yanga, Hans Van Der Pluijm amesema wataendelea kucheza  soka la kushambulia muda wote katika pambano la marudiano dhidi ya Komoronize litakalofanyika ugenini Moroni, Comoro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani