Hans van Der Pluijm na Charles Mkwassa watajwa kuwa makocha wapya wa Yanga
![](http://1.bp.blogspot.com/-f9_IexohF1Q/VJRNIfTTmXI/AAAAAAAG4eE/tZWaCa1dp3c/s72-c/pluijm.jpg)
Klabu ya Yanga imemtaja, Dr Jonas Tiboroha (45) kuwa katibu mkuu wa klabu na kuwathibitisha rasmi Hans van Der Pluijm na Charles Mkwassa kuwa makocha wapya sambamba na kuitaka sekretarieti iliyomaliza muda wake kukabidhi ofisi haraka.
Pluijm na Mkwassa wanachukua nafasi ya makocha wa Yanga, Marcio Maximo na Leonardo Neiva waliotupiwa virago huku Tiboraha akichukua mikoba ya Beno Njovu aliyemaliza muda wake.
Awali mkufunzi wa Fifa, Henry Tandau alipigiwa chapuo kuchukua cheo cha Ukatibu baada...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LxgTrYw8IclfxGLxiOAerAy-PZTrOBCrBQqweDQGwA6ylU29zEHNbQUcAdSzMhLmCDfn3zoVr0u7ORTdxkZuQ4GaGBNH*7Fj/HansVanderPluijm.jpg?width=650)
VAN DER PLUIJM AJA KESHO KUFANYA MAZUNGUMZO NA YANGA
9 years ago
Habarileo05 Jan
Kamusoko safi - Hans van Pluijm
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm amemwagia sifa kiungo mpya wa timu hiyo, Mzimbabwe Thabani Kamusoko kwa kuonesha kiwango kizuri katika mechi ya ufunguzi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IxPfzOrgAhcA044nBTvvNtqfk7gOM*2MbyzdHLv26c0R8fTY*MwIpbbmlyHUk9zPY8gnFEcPmaIoVImoBxL00huUbu3K5NF1/pluijm1.jpg?width=650)
Hans Pluijm amtaka Humud Yanga
9 years ago
Mtanzania10 Sep
Hans Pluijm: Nimesajili wenye nidhamu Yanga
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van der Pluijm, ameeleza licha ya kusajili wachezaji bora katika kikosi chake, lakini pia nyota wake hao wana nidhamu ya hali ya juu hali inayomfanya aone hakuna cha kuizuia
Yanga kutwaa ubingwa na kufanya vizuri michuano ya kimataifa.
Mholanzi huyo alisema ubora wa kikosi chake na nidhamu ndiyo sifa kubwa itakayoiwezesha timu hiyo kufanya vizuri.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Pluijm alisema anaamini ubora wa kikosi chake na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfia*Wicw2TTN8m7sXleUaHIxhopCMaANEwoVZMRH4qtb4y04mqUcwvQ0HkB2xFFVUt6ahzGdkY*ITAtQbCuKt71/makocha.gif?width=650)
Makocha watano wagombea kumrithi Pluijm Yanga
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Makocha wapya Yanga waanza kwa mkwara
MAKOCHA wapya wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa na Juma Pondamali ‘Mensah’ wameanza kukinoa kikosi cha klabu hiyo huku wakiwaonya wachezaji hasa watovu wa nidhamu. Pondamali na Mkwasa wameanza kuinoa timu...
10 years ago
GPLCHARLES MKWASSA NDIYE MRITHI WA NOOIJ TAIFA STARS