Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makocha watano wagombea kumrithi Pluijm Yanga

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Wilbert Molandi na Hans Mloli
JUMLA ya makocha watano wa kimataifa wamejitokeza kurithi kibarua cha aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Hilo limetokea siku chache tangu kocha huyo kutangaza kuondoka Yanga baada ya kupata ofa ya kwenda kuifundisha Klabu ya Al Soala inayoshiriki Ligi Kuu ya Saudi Arabia. Akizungumza na Championi Jumatano, Katibu Mkuu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Hans van Der Pluijm na Charles Mkwassa watajwa kuwa makocha wapya wa Yanga

Klabu ya Yanga imemtaja,  Dr Jonas Tiboroha (45) kuwa katibu mkuu wa klabu na kuwathibitisha rasmi Hans van Der Pluijm na Charles Mkwassa kuwa makocha wapya sambamba na kuitaka sekretarieti iliyomaliza muda wake kukabidhi ofisi haraka.
Pluijm na Mkwassa wanachukua nafasi ya makocha wa Yanga, Marcio Maximo na Leonardo Neiva waliotupiwa virago huku Tiboraha akichukua mikoba ya Beno Njovu aliyemaliza muda wake.
Awali mkufunzi wa Fifa, Henry Tandau alipigiwa chapuo kuchukua cheo cha Ukatibu baada...

 

10 years ago

Mwananchi

Makocha Pluijm, Phiri wajigamba

Kocha wa Yanga, Hans van Pluijm na mwenzake Patrick Phiri wa Simba wametamba kuibuka na ushindi dhidi ya Azam na Kagera Sugar wakati mechi za Ligi Kuu ya Vodacom zitakapoingia raundi ya nane kuanzia kesho.

 

10 years ago

GPL

BREAKING NEWS: CCM YATANGAZA WAGOMBEA WATANO WA URAIS

Kikao cha KAMATI KUU (CC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 5 ambao ni: 1) Bernard Membe 2) John Magufuli 3) Asha Rose Migiro 4) January Makamba 5) Amina S. Ali. Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa kukabidhiwa kwa HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) ili kupata majina matatu (3) yatakayopigiwa kura kwenye Mkutano Mkuu…

 

10 years ago

Vijimambo

WAJUE KWA UNDANI WAGOMBEA WATANO WALIOPITISHWA NA KAMATI KUU (CC)


1: BENARD MEMBE

Benard Kamillius Membe ni Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi na ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, alizaliwa tarehe 09 Novemba 1953, katika Kijiji cha Rondo-Chiponda, Wilaya ya Lindi Vijijini.
Membe ana shahada ya kwanza ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma na ana shahada ya umahiri ya Uhusiano wa Kimataifa.

Membe aliajiriwa kwenye Ofisi ya Rais na kufanya kazi kwa miaka 6 kabla hajaanza shahada ya kwanza na baadaye alirudi vyuoni kusoma na kuhitimu...

 

10 years ago

Mwananchi

Makocha waiponda Yanga

Makocha wanaofundisha katika klabu za Ligi Kuu wameukosoa uongozi wa Yanga kwa kumtimua kocha, Marcio Maximo kwa kutumia kisingio za mechi ya Mtani Jembe.

 

11 years ago

GPL

Makocha 35 wapigana vikumbo Yanga


Na Khadija Mngwai
KUFUATIA kuondoka kwa aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi Hans Van Der Pluijm, kumekuwa na mgongano wa hali ya juu baada ya zaidi ya makocha 35 kutuma maombi ya kutaka kuifundisha timu hiyo msimu ujao. Hivi karibuni Pluijm aliamua kuondoka klabuni hapo na kutimkia Uarabuni kwenda kufundisha soka baada ya kupata ofa kubwa. Akizungumza na Championi Jumamosi, Msemaji wa Yanga, Baraka Kizuguto, alisema...

 

9 years ago

Mwananchi

Makocha Azam, Yanga watambiana

Wakati kocha wa Azam, Stewart Hall akisema mifumo anayotumia na uimara wa kiuchezaji wa wachezaji wake ndiyo siri ya mafanikio yake, mwenzake wa Yanga, Hans Pluijm ametamba kuwa timu yake ina kikosi imara zaidi pengine kushinda timu yoyote nchini.

 

9 years ago

Habarileo

Makocha wajaa mcheche Simba, Yanga

ZIKIWA zimesalia takribani siku mbili kabla ya pambano la watani wa jadi Simba na Yanga hofu imetanda kwa makocha na manahodha wa timu hizo baada ya kila mmoja kuona ugumu wa mechi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani