Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makocha wajaa mcheche Simba, Yanga

ZIKIWA zimesalia takribani siku mbili kabla ya pambano la watani wa jadi Simba na Yanga hofu imetanda kwa makocha na manahodha wa timu hizo baada ya kila mmoja kuona ugumu wa mechi hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Makocha Ligi Kuu wazichambua Simba, Yanga

Makocha wa klabu mbalimbali za Ligi Kuu nchini wameichambua mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga kesho na kueleza kuwa Yanga ‘itabebwa’ na uzoefu huku Simba ikitakiwa kucheza kitimu zaidi ili ishinde mchezo huo.

 

11 years ago

Mwananchi

Simba, Yanga zafukuza makocha tisa miaka mitatu

Wakati Yanga imesitisha mkataba wa kazi wa kocha wake, Ernest Brandts imebainika kuwa Yanga na Simba zimefukuza makocha tisa kwa kipindi cha miaka mitatu.

 

10 years ago

GPL

SIMBA YAFUKUZA MAKOCHA

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri. Aliyekuwa Kocha msaidizi, Selemani Matola (kushoto) akifuatilia mazoezi. Klabu ya Simba imewafukuza kazi Kocha Patrick Phiri raia wa Zambia na msaidizi wake Selemani Matola kutokana na matokeo mabaya ya…

 

10 years ago

Mwananchi

Makocha waigomea Simba

Kocha wa Mtibwa Sugar, Mecky Maxime, David Mwamaja wa Prisons na Juma Mwambusi wa Mbeya City wameitaka Simba kusahau kusajili wachezaji wao kwa sasa.

 

10 years ago

Mtanzania

Miezi 13, makocha 3 Simba

aveva

 

NA  ABDUCADO EMMANUEL,
DAR ES SALAAM

INASHANGAZA! Hiyo ndio hali halisi kwa timu ya Simba baada ya kunolewa na makocha watatu tofauti ndani ya miezi 13 iliyopita hadi sasa. Simba tayari imemfuta kazi kocha wake Mzambia, Patrick Phiri, aliyeanza kuinoa timu hiyo Agosti mwaka jana na nafasi yake imechukuliwa na Mserbia, Goran Kopunovic, aliyetarajia kusaini mkataba wa mwaka mmoja jana.
Goran anakuwa kocha wa tatu kuinoa Simba ndani ya miezi 13 iliyopita kwani kabla ya Phiri kurejea, kibarua...

 

10 years ago

Mwananchi

Makocha waiponda Yanga

Makocha wanaofundisha katika klabu za Ligi Kuu wameukosoa uongozi wa Yanga kwa kumtimua kocha, Marcio Maximo kwa kutumia kisingio za mechi ya Mtani Jembe.

 

9 years ago

Mwananchi

Makocha Azam, Yanga watambiana

Wakati kocha wa Azam, Stewart Hall akisema mifumo anayotumia na uimara wa kiuchezaji wa wachezaji wake ndiyo siri ya mafanikio yake, mwenzake wa Yanga, Hans Pluijm ametamba kuwa timu yake ina kikosi imara zaidi pengine kushinda timu yoyote nchini.

 

11 years ago

GPL

Makocha 35 wapigana vikumbo Yanga


Na Khadija Mngwai
KUFUATIA kuondoka kwa aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi Hans Van Der Pluijm, kumekuwa na mgongano wa hali ya juu baada ya zaidi ya makocha 35 kutuma maombi ya kutaka kuifundisha timu hiyo msimu ujao. Hivi karibuni Pluijm aliamua kuondoka klabuni hapo na kutimkia Uarabuni kwenda kufundisha soka baada ya kupata ofa kubwa. Akizungumza na Championi Jumamosi, Msemaji wa Yanga, Baraka Kizuguto, alisema...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani