Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamusoko safi - Hans van Pluijm

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm amemwagia sifa kiungo mpya wa timu hiyo, Mzimbabwe Thabani Kamusoko kwa kuonesha kiwango kizuri katika mechi ya ufunguzi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Hans van Der Pluijm na Charles Mkwassa watajwa kuwa makocha wapya wa Yanga

Klabu ya Yanga imemtaja,  Dr Jonas Tiboroha (45) kuwa katibu mkuu wa klabu na kuwathibitisha rasmi Hans van Der Pluijm na Charles Mkwassa kuwa makocha wapya sambamba na kuitaka sekretarieti iliyomaliza muda wake kukabidhi ofisi haraka.
Pluijm na Mkwassa wanachukua nafasi ya makocha wa Yanga, Marcio Maximo na Leonardo Neiva waliotupiwa virago huku Tiboraha akichukua mikoba ya Beno Njovu aliyemaliza muda wake.
Awali mkufunzi wa Fifa, Henry Tandau alipigiwa chapuo kuchukua cheo cha Ukatibu baada...

 

10 years ago

GPL

Hans Pluijm amtaka Humud Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Sweetbert Lukonge Dar es Salaam KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amedaiwa kulipendekeza jina na kiungo wa Coastal Union ya Tanga, Abdulhalim Humud katika orodha ya wachezaji anaohitaji kuwasajili kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara. Pluijm anamhitaji mchezaji huyo ili aweze kuimarisha safu yake ya kiungo ambayo bado haijakaa sawa kama yeye anavyohitaji iwe. Kpah Sherman...

 

10 years ago

Mtanzania

Hans Pluijm: Nimesajili wenye nidhamu Yanga

pluijmNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van der Pluijm, ameeleza licha ya kusajili wachezaji bora katika kikosi chake, lakini pia nyota wake hao wana nidhamu ya hali ya juu hali inayomfanya aone hakuna cha kuizuia
Yanga kutwaa ubingwa na kufanya vizuri michuano ya kimataifa.

Mholanzi huyo alisema ubora wa kikosi chake na nidhamu ndiyo sifa kubwa itakayoiwezesha timu hiyo kufanya vizuri.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Pluijm alisema anaamini ubora wa kikosi chake na...

 

11 years ago

GPL

VAN DER PLUIJM AJA KESHO KUFANYA MAZUNGUMZO NA YANGA

Kocha Johannes Franciscus ‘Hans’ van der Pluijm. KLABU ya Yanga SC imemualika kwa mazungumzo, kocha ‘babu’, Johannes Franciscus ‘Hans’ van der Pluijm, aliyewahi kuifundisha Berekum Chelsea ya Ghana, ambaye anaweza kutua Dar es Salaam kesho iwapo atafanikiwa kupata ndege. Hakuna nafasi katika ndege za kutoka Ghana kuja Dar es Salaam na babu huyo anahaha kutafuta ndege ya kuunganisha na kama...

 

9 years ago

Mwananchi

Kamusoko aibeba Yanga

Bao la dakika za majeruhi la Mzimbabwe Thaban Kamusoko lilitosha kuipa Yanga ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya African Sports kwenye mchezo uliofanyika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga jana.

 

10 years ago

Mwananchi

Kamusoko mtamu, we acha tu!

Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko ‘rasta’ ameonyesha utaalamu uwanjani baada ya kupiga pasi 46 na kutengeneza bao la pili lililofungwa na Amissi Tambwe katika mechi dhidi Tanzania Prisons ambayo Yanga ilishinda 3-0 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani