Kamusoko aibeba Yanga
Bao la dakika za majeruhi la Mzimbabwe Thaban Kamusoko lilitosha kuipa Yanga ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya African Sports kwenye mchezo uliofanyika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga jana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen08 Aug
I’m ready for the challenge, says Yanga’s Kamusoko
10 years ago
Vijimambo
KIIZA AIBEBA YANGA KWA GOLI LA 'FAIRPLAY' DHIDI YA EXPRESS YA UGANDA-Father Kidevu

Mchezaji wa kulipwa wa Uganda, Hamisi Kiiza anaekipia na Yanga ndiye aliyepachika goli hilo ambalo hata hivyo lilionesha kulalamikiwa na benchi la ufundi la Express ambao walikuwa wakihoji tunawafundisha nini wachezaji juu ya Fair Play?

9 years ago
Mwananchi18 Sep
Kamusoko mtamu, we acha tu!
9 years ago
Habarileo05 Jan
Kamusoko safi - Hans van Pluijm
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm amemwagia sifa kiungo mpya wa timu hiyo, Mzimbabwe Thabani Kamusoko kwa kuonesha kiwango kizuri katika mechi ya ufunguzi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi.
9 years ago
Habarileo24 Oct
Kamusoko, Msuva wakosa penalti tena
WACHEZAJI Thaban Kamusoko, Vicent Bossou na Simon Msuva wamekosa penalti wakati wa mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume Dar es Salaam.
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Rekodi ya Kamusoko iliyomtoa Haruna Niyonzima
Kiungo wa Yanga, Mzimbabwe, Thabani Kamusoko.
Mohammed Mdose,
Dar es Salaam
MABAO ya kiungo wa Yanga, Mzimbabwe, Thabani Kamusoko, yamekuwa na maajabu ya aina yake na kutengeneza kastori f’lani ka kuvutia katika mechi za ligi kuu tangu kuanza kwa msimu huu, Septemba 12, mwaka huu.
Haruna Niyonzima.
Kamusoko ambaye alisajiliwa na Yanga mwanzoni mwa msimu huu akitokea timu ya FC Platinum ya Ligi Kuu ya Zimbabwe, katika mabao 30 ya Yanga mpaka sasa, yeye amefunga manne.
Katika mabao hayo yote...
10 years ago
BBCSwahili06 Jan
Steven Gerrard aibeba Liverpool FA
9 years ago
Mtanzania15 Sep
Xavi Hernandez aibeba Al Sadd
DOHA, QATAR
NYOTA wa zamani wa klabu ya Barcelona ambaye kwa sasa anakipiga klabu ya Al Sadd, Xavi Hernandez, ameanza vizuri katika klabu hiyo mpya baada ya kutoa pasi za mwisho katika mchezo wa Ligi dhidi ya Al-Mesaimeer.
Katika mchezo huo wa Ligi Kuu nchini Qatar, Xavi alitoa mchango mkubwa wa kuongeza mashambulizi huku akitoa pasi ya mwisho na klabu yake ikishinda mabao 4-0.
Hata hivyo, mchezaji huyo alishangaa kuona mashabiki wachache ambao walijitokeza katika uwanja huo ambao ulichukua...