Xavi Hernandez aibeba Al Sadd
DOHA, QATAR
NYOTA wa zamani wa klabu ya Barcelona ambaye kwa sasa anakipiga klabu ya Al Sadd, Xavi Hernandez, ameanza vizuri katika klabu hiyo mpya baada ya kutoa pasi za mwisho katika mchezo wa Ligi dhidi ya Al-Mesaimeer.
Katika mchezo huo wa Ligi Kuu nchini Qatar, Xavi alitoa mchango mkubwa wa kuongeza mashambulizi huku akitoa pasi ya mwisho na klabu yake ikishinda mabao 4-0.
Hata hivyo, mchezaji huyo alishangaa kuona mashabiki wachache ambao walijitokeza katika uwanja huo ambao ulichukua...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili05 Aug
Xavi Hernandez astaafu soka
9 years ago
TheCitizen19 Nov
Barcelona have not missed Messi, says Xavi Hernandez
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Kamusoko aibeba Yanga
10 years ago
BBCSwahili06 Jan
Steven Gerrard aibeba Liverpool FA
10 years ago
Mwananchi30 Mar
MECHI:Samata aibeba Taifa Stars
10 years ago
BBCSwahili23 May
Xavi kuihama Barcelona
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Licha ya kujiuzulu, Raza aibeba Mapinduzi Cup
ULE msemo wa wahenga usemao, ‘Baniani mbaya kiatu chake dawa,’ umeendelea kujidhihirisha visiwani hapa baada ya Kamati ya Kombe la Mapinduzi 2014 kumwangukia mdau maarufu wa michezo, Mohamed Raza, kuwakopesha...
10 years ago
Vijimambo29 Mar
Samatta aibeba Stars ikitoka sare na Malawi 1-1

Bao la Stars limefungwa na Mbwana Samatta akisawazisha bao baada ya kupokea pasi safi ya Ngassa kunako dakika ya 76.Malawi walipata bao katika dakika ya 4 kupitia kwa Esau Kanyenda kufatia mpira wa Kona baada ya Kipa Mwadini Ally akapangu mpra na kuangukia miguuni mwa mchezaji wa Malawi ambaye hakufanya makosa .
Katika...
9 years ago
Africanjam.Com
JAVIER "CHICHARITO" HERNANDEZ NAMED AGAIN BUNDESLIGA PLAYER OF THE MONTH

Hernandez scored five times for Leverkusen in December, or once every 52 minutes -- the best rate in the league.
Hernandez, 27, completed a hat trick in his side's 5-0 rout of Borussia Monchengladbach and added a goal each against Hertha Berlin and Ingolstadt.The former Manchester United man also...