Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Xavi Hernandez astaafu soka

Kiungo wa Barcelona na Spain Xavi Hernandez ametangaza kustaafu soka la kimataifa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Xavi Hernandez aibeba Al Sadd

xavi_hernandez_1DOHA, QATAR

NYOTA wa zamani wa klabu ya Barcelona ambaye kwa sasa anakipiga klabu ya Al Sadd, Xavi Hernandez, ameanza vizuri katika klabu hiyo mpya baada ya kutoa pasi za mwisho katika mchezo wa Ligi dhidi ya Al-Mesaimeer.

Katika mchezo huo wa Ligi Kuu nchini Qatar, Xavi alitoa mchango mkubwa wa kuongeza mashambulizi huku akitoa pasi ya mwisho na klabu yake ikishinda mabao 4-0.

Hata hivyo, mchezaji huyo alishangaa kuona mashabiki wachache ambao walijitokeza katika uwanja huo ambao ulichukua...

 

9 years ago

TheCitizen

Barcelona have not missed Messi, says Xavi Hernandez

Barcelona legend Xavi Hernandez says his old team has not missed the world’s best player Lionel Messi, ahead of this weekend’s first clash of the season with Real Madrid.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Jumamosi 30.05.2020: Sane, Hernandez, Hendrick, Bellingham

Bayern Munich iko tayari kumtoa mchezaji wake mlinzi Lucas Hernandez kwa Manchester City.

 

11 years ago

BBCSwahili

Steven Gerrard astaafu soka

Nahodha wa England na Liverpool Steven Gerrard ametundika daruga akiwa na miaka 34

 

10 years ago

BBCSwahili

Song astaafu soka ya kimataifa

Mchezaji wa Cameroon West Ham Alex Song amestaafu kucheza soka ya kimataifa baada ya kujumuishwa katika kikosi cha timu ya taifa

 

10 years ago

BBCSwahili

Etoo astaafu soka ya kimataifa

Mshambulizi wa Cameroon Samuel Etoo amestaafu soka ya kimataifa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Didier Drogba astaafu soka ya kimataifa

Mchezaji soka maarufu wa Ivory Coast Didier Drogba, ametangaza kustaafu soka ya kimataifa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 30.03.2020:Aubameyang, Haaland, Mane, Mkhitaryan, Xavi, Heaton

Real Madrid wanataka kumsajili mshambuliaji wa Arsenal raia wa Gabon Emerick Aubameyang endapo watashindwa kumpata Erling Braut Haaland.

 

11 years ago

Bongo5

Didier Drogba astaafu kucheza soka la kimataifa

Mshambuliaji wa Chelsea, Didier Drogba leo (Agosti 8) ametangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa na timu yake ya Ivory Coast, lakini ataendelea kuichezea timu yake ya Chelsea. Drogba mwenye miaka 36, aliichezea timu yake ya taifa michezo 104 na kufanikiwa kufunga magoli 60. “Kwa masikitiko makubwa nimechukua uamuzi kwa kustaafu soka la kimataifa” Drogba aliandika […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani