Kamusoko mtamu, we acha tu!
Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko ‘rasta’ ameonyesha utaalamu uwanjani baada ya kupiga pasi 46 na kutengeneza bao la pili lililofungwa na Amissi Tambwe katika mechi dhidi Tanzania Prisons ambayo Yanga ilishinda 3-0 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies04 Feb
Hapa Na Pale: Lulu Awa Mtamu Chuoni!!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu, ambae kwa sasa ameamua kupiga kitabu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ , ambae kwa sasa ameamua kupiga kitabu , anadaiwa kuwafunika kimasomo wanafunzi wenzake katika Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kilichopo Magogoni-Posta jijini Dar.
Akizungumza hivi karibuni chuoni hapo, mmoja wa wanafunzi wanaosoma na mwigizaji huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema Lulu amekuwa akihudhuria vizuri darasani na kufanya vyema kwenye masomo yake mbalimbali zaidi ya...
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Kamusoko aibeba Yanga
10 years ago
TheCitizen08 Aug
I’m ready for the challenge, says Yanga’s Kamusoko
10 years ago
Bongo Movies20 Mar
Picha: Ahsante Mungu na Wazazi Wangu Kwakunifanya Mtamu!- Lulu
Mrembo na Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye hakuna anaebisha kuwa amejaaliwa uzuri wa sura na umbo, kupitia ukursa wake wa instagram amemshuruku Mungu na wazazi wake kwa mfanya kuwa zaidi ya mcharo, yaani ni mtamuuuu.
“Ahsante kwa Mungu....Shoutout kwa Mama & Baba Lulu + Make up….u'all knw wat I mean....Kitu Mcharo plus…..(Basi kuna watu wata panic......kufwaaaa 4 me)”-Lulu aliandika na kubandika picha hizo hapo juu.
Jionee neema za Muumba hapo juu, mimi nimempa kumi...
9 years ago
Habarileo24 Oct
Kamusoko, Msuva wakosa penalti tena
WACHEZAJI Thaban Kamusoko, Vicent Bossou na Simon Msuva wamekosa penalti wakati wa mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo05 Jan
Kamusoko safi - Hans van Pluijm
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm amemwagia sifa kiungo mpya wa timu hiyo, Mzimbabwe Thabani Kamusoko kwa kuonesha kiwango kizuri katika mechi ya ufunguzi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi.
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Rekodi ya Kamusoko iliyomtoa Haruna Niyonzima
Kiungo wa Yanga, Mzimbabwe, Thabani Kamusoko.
Mohammed Mdose,
Dar es Salaam
MABAO ya kiungo wa Yanga, Mzimbabwe, Thabani Kamusoko, yamekuwa na maajabu ya aina yake na kutengeneza kastori f’lani ka kuvutia katika mechi za ligi kuu tangu kuanza kwa msimu huu, Septemba 12, mwaka huu.
Haruna Niyonzima.
Kamusoko ambaye alisajiliwa na Yanga mwanzoni mwa msimu huu akitokea timu ya FC Platinum ya Ligi Kuu ya Zimbabwe, katika mabao 30 ya Yanga mpaka sasa, yeye amefunga manne.
Katika mabao hayo yote...
10 years ago
Bongo522 Oct
Kanye West amuandikia ujumbe mtamu wa birthday mkewe Kim Kardashian