Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VAN DER PLUIJM AJA KESHO KUFANYA MAZUNGUMZO NA YANGA

Kocha Johannes Franciscus ‘Hans’ van der Pluijm. KLABU ya Yanga SC imemualika kwa mazungumzo, kocha ‘babu’, Johannes Franciscus ‘Hans’ van der Pluijm, aliyewahi kuifundisha Berekum Chelsea ya Ghana, ambaye anaweza kutua Dar es Salaam kesho iwapo atafanikiwa kupata ndege. Hakuna nafasi katika ndege za kutoka Ghana kuja Dar es Salaam na babu huyo anahaha kutafuta ndege ya kuunganisha na kama...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Hans van Der Pluijm na Charles Mkwassa watajwa kuwa makocha wapya wa Yanga

Klabu ya Yanga imemtaja,  Dr Jonas Tiboroha (45) kuwa katibu mkuu wa klabu na kuwathibitisha rasmi Hans van Der Pluijm na Charles Mkwassa kuwa makocha wapya sambamba na kuitaka sekretarieti iliyomaliza muda wake kukabidhi ofisi haraka.
Pluijm na Mkwassa wanachukua nafasi ya makocha wa Yanga, Marcio Maximo na Leonardo Neiva waliotupiwa virago huku Tiboraha akichukua mikoba ya Beno Njovu aliyemaliza muda wake.
Awali mkufunzi wa Fifa, Henry Tandau alipigiwa chapuo kuchukua cheo cha Ukatibu baada...

 

9 years ago

Habarileo

Kamusoko safi - Hans van Pluijm

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm amemwagia sifa kiungo mpya wa timu hiyo, Mzimbabwe Thabani Kamusoko kwa kuonesha kiwango kizuri katika mechi ya ufunguzi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi.

 

11 years ago

GPL

Pluijm kufanya kazi na Maximo

Hans Van der Pluijm.
Na Wilbert Molandi
UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umesema kuwa usajili wa Kocha Mbrazili, Marcio Maximo lazima ufanywe kwa kutumia ripoti ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mholanzi, Hans van Der Pluijm.
Mbrazili huyo anatarajiwa kutua siku yoyote kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho kinachotarajiwa kushiriki Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika.… ...

 

10 years ago

Michuzi

MAXIMO AJA NA KIFAA KINGINE CHA YANGA KUTOKA BRAZIL

 Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque akiwasalimia mashabiki wake timu hiyo, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere.  Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque akiwasalimia kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere.  Mchezaji mpya wa Yanga,Emerson Oliveira Neves Roque (katikati) mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere. Kushoto ni Andrey Coutinho
 Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves...

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani kufanya mazungumzo na Iran

Marekani inapanga kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Iran kuhusu mbinu za kukabiliana na tishop la wapiganaji Iraq

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani na Uturuki kufanya mazungumzo.

Marekani imethibitisha kuwa itaendeleza mazungumzo na Uturuki kuhusu kutoa majeshi yake yanayo pambana na kikosi cha kigaidi cha Islamic State huko magharibi mwa Syria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hong Kong:Serikali kufanya mazungumzo

Mkurugenzi mkuu wa mji wa Hong Kong Carrie Lam ametangaza kuwa serikali itafanya mazungumzo nawaandamanaji

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani