Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekani na Uturuki kufanya mazungumzo.

Marekani imethibitisha kuwa itaendeleza mazungumzo na Uturuki kuhusu kutoa majeshi yake yanayo pambana na kikosi cha kigaidi cha Islamic State huko magharibi mwa Syria.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI PAMOJA NA JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI UTURUKI.


************************************Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo February 18 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davulaglu, Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki Prof.Elizabeth Kiondo, Mstahiki Meya kutoka Uturuki, Wawekezaji na Wafanyabiashara zaidi ya 40 kutoka Nchini Uturuki waliokuja Kutazama na kuchangamkia fursa za Uwekezaji wa Viwanda jijini Dar es salaam.Katika Mazungumzo hayo RC Makonda ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani kufanya mazungumzo na Iran

Marekani inapanga kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Iran kuhusu mbinu za kukabiliana na tishop la wapiganaji Iraq

 

11 years ago

BBCSwahili

Uturuki kufanya mabadiliko ya mawaziri

Waziri mkuu wa Uturuk Recep Tayyip Erdogan ametangaza kufanyika mabadiliko makubwa katika baraza la mawaziri nchini humo

 

11 years ago

BBCSwahili

Hong Kong:Serikali kufanya mazungumzo

Mkurugenzi mkuu wa mji wa Hong Kong Carrie Lam ametangaza kuwa serikali itafanya mazungumzo nawaandamanaji

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UTURUKI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Mhe. Ahmed Davutoglu walipokutana Mjini Addis Ababa kwa mazungumzo kuhusu kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Uturuki. Mhe. Membe yupo Addis Ababa akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika kuanzia tarehe 30 hadi 31 Januari, 2014. Mhe. Membe (katikati) akiwa na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Uturuki yasema iko tayari kufanya kazi na Urusi

Waziri mkuu wa Uturuki Ahmet Davutoglu amesema kuwa Ankara itafanya kazi na Urusi pamoja na washirika wake ili kuzima wasiwasi baada ya Uturuki kuidungua ndege ya Urusi.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI LUVANDA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI

Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Baraka Luvanda akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Yasemin Eralp. Mazungumzo hayo yalihusu ukimalishaji wa Makubaliano mbalimbali kati ya Tanzania na Uturuki ili yaweze kusainiwa na kuanza kutekelezwa.Balozi Luvanda akisisitiza jambo katika mazungumzo hayo.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ubalozi wa Marekani washambuliwa Uturuki

Watu wenye silaha wameufyatulia risasi ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Uturuki, Istanbul.

 

11 years ago

Michuzi

JUST IN: KAMPUNI KUBWA ZA UJEZI ZA UTURUKI ZAVUTIWA KUFANYA KAZI TANZANIA

Kampuni kadhaa kutoka nchi ya Uturuki zimeanza kuingia Tanzania ili kushiriki katika kazi za ujenzi kwenye maeneo mbali mbali hapa nchini.  Kukua kwa sekta ya ujenzi kumekua ndiyo kivutio kikuu kilichozifanya kampuni hizo kuonyesha nia ya kufungua ofisi zao hapa nchini.   Wakizungumzi katika kikao na Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli walipomtembelea ofisini kwake, wawakilishi kutoka Kampuni Kampuni tatu tofauti wamempongeza Waziri huyo kwa jinsi anavyosimamia sekta hiyo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani