Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hans: Tutaendelea kushambulia

>Kocha wa  Yanga, Hans Van Der Pluijm amesema wataendelea kucheza  soka la kushambulia muda wote katika pambano la marudiano dhidi ya Komoronize litakalofanyika ugenini Moroni, Comoro.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

‘Tutaendelea na polisi jamii’

JESHI la Polisi limesema litaendelea na mkakati wa kutumia Polisi Jamii kutokana na umuhimu wake wa kuzuia uhalifu. Akizungumza katika banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika...

 

5 years ago

Michuzi

TUTAENDELEA KUSHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kufanya kazi kwa kushirikiana na wawekezaji katika sekta mbalimbali nchini wakiwemo wenye viwanda vya kuzalisha saruji.

Amesema katika kuhakikisha inalinda viwanda vya ndani vya kuzalisha saruji Serikali imeamua kuzuia uingizwaji wa saruji kutoka nje ya nchi.

Waziri Mkuu aliyasema hayo leo(Jumanne, Machi 3, 2020) wakati akizungumza na watumishi wa kiwanda cha saruji cha Simba alipotembelea kiwanda hicho akiwa katika ziara ya kikazi mkoani...

 

11 years ago

Mwananchi

Tutaendelea kufukuza makocha kama ‘inzi’

Michezo ni kitu muhimu sehemu yoyote duniani katika maisha ya jamii ya binadamu na inasaidia kwa kiasi kikubwa katika maendeleo ya nchi mbalimbali, pia husaidia kujenga urafiki, mshikamano na umoja wa kitaifa kwa taifa lolote lile.

 

9 years ago

Mwananchi

JK: Tutaendelea kutoa majeshi kulinda amani

Tanzania imeahidi kuendelea kushiriki katika mazungumzo ya kulinda amani na kupeleka wanajeshi katika maeneo husika kuimarisha ulinzi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

PBZ: Tutaendelea kushirikiana na serikali kusaidia jamii

MAISHA  tunayoishi yanakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo baadhi yake  zimeweza kutatuliwa,  lakini zingine zinashindakana  hadi pale jamii inapopata msaada kutoka nje. Hali hii imekuwa ikijitokeza mara kwa mara  kutokana na...

 

11 years ago

Mwananchi

Tutaendelea kukalia kimya uvuvi haramu hadi lini?

Siku chache zilizopita Benki Kuu ya Tanzania ilitoa takwimu za uchumi na maendeleo katika mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa mwaka uliopita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani