Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUTAENDELEA KUSHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kufanya kazi kwa kushirikiana na wawekezaji katika sekta mbalimbali nchini wakiwemo wenye viwanda vya kuzalisha saruji.

Amesema katika kuhakikisha inalinda viwanda vya ndani vya kuzalisha saruji Serikali imeamua kuzuia uingizwaji wa saruji kutoka nje ya nchi.

Waziri Mkuu aliyasema hayo leo(Jumanne, Machi 3, 2020) wakati akizungumza na watumishi wa kiwanda cha saruji cha Simba alipotembelea kiwanda hicho akiwa katika ziara ya kikazi mkoani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA-TUTAENDELEA KUSHIRIKIANA NA MADHEHEBU YOTE NCHINI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar Zuberi Bin Ally (kulia) wakati aliposhiriki katika kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad S.A.W. , Mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es salaam, Februari 16, 2020. Wa pili kulia ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Al Hadi Musa.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zuberi Bin Ally katika kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad S.A.W , Mtaa wa Indira...

 

10 years ago

Tanzania Daima

PBZ: Tutaendelea kushirikiana na serikali kusaidia jamii

MAISHA  tunayoishi yanakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo baadhi yake  zimeweza kutatuliwa,  lakini zingine zinashindakana  hadi pale jamii inapopata msaada kutoka nje. Hali hii imekuwa ikijitokeza mara kwa mara  kutokana na...

 

5 years ago

CCM Blog

MAJALIWA:TUTAENDELEA KUCHUKUA HATUA KWA WATAKAOKATISHA MASOMO KWA WATOTO WA KIKE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai (wa tatu kulia) wakiweka jiwe la Msingi la Shule ya Sekondari ya Wachana  ya Bunge  iliyojengwa na wabunge na kukabidhiwa kwa Serikali Juni 14, 2020. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo na wa pili kulia ni Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson Mwansasu. Kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako na wapili kushoto ni Mbunge wa Urambo na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge...

 

9 years ago

CCM Blog

PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Mteule Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuapishwa kesho


Sherehe za kumuapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (pichani), Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitafanyika katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2015 kuanzia saa   4.00 Asubuhi. Sherehe hizo zinafanyika siku moja  baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha jina lake kwa kura nyingi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia uteuzi uliofanywa na Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA KWENYE MCHAPALO WA KUZINDUA BUNGE

 Waziri  Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa  akizungumza na  Mke wa Rais Mstaafu wa  Awamu ya Nnne , Mama Salma Kikwete katika hafla fupi  iliyoyofanyika kwenye viwanja vya Bunge mjiniDodoma  baada ya Rais John Magufuli kuzindua Bunge Novemba 2015 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akisalimiana na  Rais Mstaafu wa  Zanzibar, Aman Abeid Karume katika hafla fupi  iliyofuatia  kuzinduliwa kwa Bunge na Rais John Magufuli kwenye  mjini Dodoma Novemba 20, 2015. Hafla hiyo ilifanyika kwenye...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA, KASSIM MAJALIWA AHUTUBIA RUANGWA

rua1Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa zawadi ya shati la asili la  Wamwera  na Mzee Saidi Issa Hanga katika mkutano wa hadhara aliouhutubia  mjini Ruangwa Desemba 20, 2015. rua2Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakisalimiana na wazee wa Ruangwa kabla ya mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu mjini Ruangwa Desemba 20, 2015. rua3Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha na kufurahia  silaha  za asili alizokabidhiwa na wazee wa Ruangwa kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara...

 

9 years ago

CCM Blog

MHE.MAJALIWA KASSIM MAJALIWA APATA ZAIDI YA ASILIMIA 73.5%

Idadi ya wabunge ni 394 waliosajiliwa ni 369 na waliohudhuria Bunge ni 351

 Apigiwa kura 258Zilizoharibika ni kura 2Kura za hapana 91








Waziri Mkuu Mteule Majaliwa Kassim Majaliwa apata asilimia 73.5 ya kura zilizopigwa na wapunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani