KASHESHE BARABARANI; TRAFIK WATWANGANA NA 'MJESHI'!
https://pbs.twimg.com/media/BnCDgQECMAEkZup.jpg:large" />  Askari wa Usalama barabarani (trafik) eneo la Makumbusho, jijini Dar wakimpiga Dereva wa gari ambaye alijitambulisha kama 'mwanajeshi' ! Tukio hili limetokea mida ya saa 9 mchana huu baada ya askari hao 'kupishana Kiswahili', lol!!. (Picha na…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLNJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...
10 years ago
GPLMKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI
MKE wa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama juzi Jumatatu alitoa shoo ya nguvu kwa kucheza wimbo wa Mark Ronson uitwao "Uptown Funk" akiwa sambamba na mastaa wa "So You Think You Can Dance". Michelle alikuwa akisherehekea bethidei ya miaka mitano ya Kampeni yake ya "Let's Move!" yenye lengo la kuondoa vitambi kwa watoto nchini Marekani. Michelle alianzisha kampeni hiyo mwaka 2010 baada ya kuwepo watoto wengi wenye...
10 years ago
GPLCHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE
Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa Dar Live. Bella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).…
10 years ago
GPLKAMPUNI YA TTCL YAANZISHA KITUO CHA INTERNETI 'IP POP'
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akizungumza katika mdahalo wa wadau wa mawasiliano uliofanyika jana jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba (kulia) akizungumza na wanahabari mara baada ya mkutano wa wadau wa mawasiliano Afrika ikiwemo…
11 years ago
GPL14 May
11 years ago
GPL04 Mar
WEMA SEPETU AMREKODI 'BABY' WAKE AKIGONGA MENYU
Staa wa Filamu za Kibongo, Wema Sepetu amemrekodi mpenzi wake, Diamond Platnumz akipata msosi katika mghahawa wa Indian Cuisine (Video: Instagram)
11 years ago
GPLREDD'S MISS CHANG'OMBE ZAWADI ZA WASHINDI ZATANGAZWA
Mratibu wa Shindano la kumtafuta mrembo wa Redd's Miss Chang'ombe, Tom Chilala (katikati),akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, leo wakati wa kuitangaza zawadi za washindi. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Marie Stopes, Dk. Jophn Bosco na Ofisa Uhusiano wa TV1, Mponjoli Katule.…
10 years ago
GPLUNANG'ANG'ANIA KUPENDA USIKOPENDEKA ILI IWEJE? - 2
WIKI iliyopita tuliianza mada hii ambayo inatufundisha juu ya kutong’ang’ania kupenda pasipopendeka. Unampenda mtu wakati yeye moyo wake haupo kwako, utateseka bure wakati mwenzako wala hayajui mateso unayopitia. Utaambulia maumivu yatakayokugharimu kwa kiasi kikubwa usipokuwa makini, leo tumalizie mada hii kwa kutazama madhara ya kung’ang’ania penzi hilo.
TUENDELEE…...
11 years ago
GPLCRISTIANO RONALDO 'AKOPI NA KUPESTI' STAILI YA MARIO BALOTELLI
Cristiano Ronaldo (kushoto) akishangilia bao lake la penalti dhidi ya Atletico Madrid. Kulia ni Mario Balotelli alipofunga bao katika nusu fainali ya Euro 2012 kati ya Italia na Ujerumani. MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo, ‘amekopi na kupesti’ staili ya mshambuliaji wa AC Milan Mario Balotelli baada ya kufunga bao la nne dhidi ya Atletico Madrid kwenye Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa kuamkia...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania