MATONYA AMVAA JAYDEE, KISA PICHA YA UDHALILISHAJI
![](http://api.ning.com:80/files/eHhH0wF8G5AzSoOfXBYeo6Agn2qJTb*Ew8mnU1E5jMwMq2HV*rFTkmm2i7areacrIYrcJBA*SZj6RW-tjO*N0ikoeo3ohcVj/BACK.jpg)
Stori: Musa mateja/Risasi STAA aliyewahi kukamata vilivyo kwenye anga ya muziki wa Bongo Fleva, Shabani Ramadhani ‘Matonya’ ameibuka na kumvaa mwanadada Judith Wambura ‘Jide au Lady Jaydee’ akidai amemdhalilisha kwa mashabiki wake. Staa aliyewahi kukamata vilivyo kwenye anga ya muziki wa Bongo Fleva, Shabani Ramadhani ‘Matonya’ Akizungumza na mwanahabari wetu, Matonya alisema anamtafuta...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-EurNgu1aD-o/VLA0GMJLT9I/AAAAAAAANrg/Ca8RbDD6LbM/s72-c/JD_65.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eOkD9SMZvVpRbZRxBPU4KIOFolyG4LfEi6bBfPHP-lMie4ULUcxY1GoYJ2lL4HYNuv8RDJuPtNX6B*AATSjGOmL6YGBHLMNg/mjeshi.jpg)
Mjeshi amvaa Jaja, kisa mabao
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lu8a2-fLGRnDYYuZJ-xsAtNpYO7pHkDnOZn-9uiu840QG2nzNrxogUV6I6h2SenT8WCOsNlob-xr2zmRSbmgHBo2hFhMxodp/PINDA.jpg)
PINDA AMVAA DUDE, KISA KUTOFUNGA NDOA
10 years ago
Bongo Movies10 Aug
Nuh Mziwanda Amvaa Idris Sultan, Kisa Shilole!
Picha limeanzia kwenye post ya Instagram ya mshindi wa Big Brother Africa Hotshots, Idris Sultan ambayo aliweka picha ya girlfriend wake Samantha wa Afrika Kusini.
Miongoni mwa watu walio comment kwenye picha hiyo ni pamoja na mmiliki wa ‘moyo’ wa Shishi Baby, Nuh Mziwanda ambaye alimchimba ‘biti’ Idris, akidai kuwa amekuwa akimsumbua mpenzi wake Shilole kwa kumtumia ujumbe ambao hapendezwi nao.
“Nikianza kumsumbua demu wako, kaam unavyomsumbua wangu utafurahi, nimekuvumilia sana bro, sasa...
9 years ago
Bongo506 Jan
Picha: Lady Jaydee kufanya collabo na Nameless?
![1172219_160953367603974_1540394864_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/1172219_160953367603974_1540394864_n-300x194.jpg)
Lady Jaydee yupo jijini Nairobi, Kenya pamoja na meneja wake mpya, Seven Mosha.
Lady Jaydee na Seven Mosha
Wawili hao wamekuwa wakionekana pamoja tangu waanze kufanya kazi mwishoni mwa mwaka uliopita.
Nameless na Jaydee
Jaydee aliyekaa kimya kwa muda sasa huku akionesha kuwa kwenye mkakati mkubwa wa kurejea kwa kishindo, ameshare picha akiwa amekumbatiana studio na hitmaker wa ‘Nasinzia’ wakiwa studio hali inayoonesha kuwa huenda wakawa wamerekodi wimbo pamoja.
Jide pia ameshare picha...
10 years ago
Bongo515 Aug
Lady Jaydee ajibu tetesi za kuachana na Gadner kwa picha ya pete ya ndoa kidoleni
10 years ago
Bongo Movies11 Feb
Wema Amtusi Shemeji wa Zari, Kisa?! Kuvujisha Picha Mtandaoni!
SEKESEKE: Inadaiwa kuwa mwigizaji Wema Sepetu ‘Madam’ amemporomoshea matusi mazito shemeji wa Zarina Hassan ‘Zari’, King Lauwrance akidai amemuudhi sana kwa kitendo cha kuvujisha picha inayomuonesha akiponda raha nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ na mume wa Zari, Ivan Semwanga.
Kama tunavyojua Wema na staa wa Bongo Fleva, Omari Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ walikwenda Sauz kufanya Le Project ya Video.
Kwa mujibu wa chanzo cha GPL kilichokuwa Sauz, baada ya Wema na Ommy kutua nchini humo na ‘project’ ...
10 years ago
Bongo Movies28 Dec
Rose Ndauka Awapasha Wanaofuatilia Maisha Yake...Kisa Namkasa? Picha Hizi!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu za hapa bongo, Rose Ndauka ambae ni mama wa mtoto mmoja amewatolea uvivu baadhi ya watu ambao ni “followers” wake kwenye mtandao wa Instagram ambao walimshambulia sana kwa maneno baada ya yeye kuweka picha hiyo hapo juu akiwa amekaa na “jamaa” huku amemfunika uso.
Chokochoko
Baadhi ya watu hao walichukulia kwamba huyu jamaa pichani ndio “PROJECT” mpya ya Rose hivyo wakaanza kumshabulia mwananadada Rose kwa maneno kuwa hajatulia na ndiomana aliachika kwa bwana,...
10 years ago
Bongo Movies19 Feb
Aunt Ezekiel Aporomosha Maneno Machafu, Kisa Picha Akiwa Kiwanja Anakula Bata!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Aunt ezekiel amejikuta akitoa maneno makali baada ya mashabiki wake kumshabulia kwa maneno baada ya kuweka mtandaoni picha ikimuonyesha amevalia kinguo ambacho kwa maoni ya mashabiki hao hakistahili kuvaliwa na mwanamke mjamzito na kibaya zaidi alionekana mkononi ameshika shupa ambao wengi waliiona kama niyakilevi.
Aunty Ezekiel alibandika picha hiyo hapo juu hivi juzi kati akiwa na jamaa kwenye ukurasa wake mtandaoni na kuandika maneno “My best...